MB Dogg vs Z. Anto

Mkuu hujanikomoa, dingi ndo aliuleta Tz miaka ya 70's akitokea US kikazi, bahati mbaya akakutana na mrembo mmoja hapa bongo wakazaa hii kijana iliyokupora Latifa wako, na hii kijana ilizaliwa positive, dozi kwake Ni Kama barakoa kwa waitaliano
 
Halafu Kama umegundua hizi dozi za sahivi Zina kauchachu fulani hivi Kama ukwaju, Ni tofauti Sana na zile za miaka ya mwanzon mwa 90, zilikuwa chungu sana
 
Mkuu hujanikomoa, dingi ndo aliuleta Tz miaka ya 70's akitokea US kikazi, bahati mbaya akakutana na mrembo mmoja hapa bongo wakazaa hii kijana iliyokupora Latifa wako, na hii kijana ilizaliwa positive, dozi kwake Ni Kama barakoa kwa waitaliano
🤣🤣haya bana, doggy aliimba yale maneno kwenye nyimbo ya Latifa kama vile aliyatoa kwangu
 
🤣🤣haya bana, doggy aliimba yale maneno kwenye nyimbo ya Latifa kama vile aliyatoa kwangu
Jamaa anajua Sana Yule, naona kaamua kupotelea huko Ughaibuni Moja kwa moja.

Ninazo nyimbo zake Kama zote, huwa napenda Sana nyimbo hizo, zinanikumbusha enzi za ujana wangu, eti namimi nikawa naandika mashairi kwenye vidaftari nikiwa na hopes kuwa siku moja nitatoboa, dah, kazi niliyokuja kufanya na mzikii Ni tofauti kabisaa
 
hahaha😂 wewe ni member kama wa 3 naona umesema hivi kuhusu kujihusisha na muziki enzi za ujana,
 
Hakuna haja ya kupambanisha kaka huyo mzee wa BINT kiziwi hamfikii bwana MBWANA hata kidogo,MB anajua kuimba asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z mtoto mdogo sana, miaka ya 2008+ Doggy mkongwe, ngoma kwa P funk. Mb Doggy ni mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…