Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 209
- 137
Jamani ni mimi tu au wote? MB za Vodacom zinawahi kuisha kuliko matumizi.
Vodacom kunani?
Vodacom kunani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 acha kukuza mamboVoda wapuuzi sana mm line yenyew nimeweka kwenda brenda nimesaga na juice nimekunywa
Ata mm nashangaaa..TTCL niliweka 2gb nakula movie ata tatu...voda ata robo movie huangalii.
Ila kiukwel nimewakacha sshv nimerudi nyumban kumenoga mkuu😀😀😀 acha kukuza mambo
Niliunga GB 2, nikaanza ku download file la mb 600, ata mb 500 haikufika naambiwa nimetumia asilimia 90, ghafla 510mb naambiwa mb za kifurushi chako cha sh.... kimekwisha.Voda wanakuuzia 2GB jina tu lkn kiuhalisia ni 1GB na pont kidogo sana. Unadownlod file la 2GB unapata imepakuwa 1GB na vipoint alafu na bando limekata yani ni wezi sana