MB za Vodacom kuwahi kuisha

MB za Vodacom kuwahi kuisha

Jamani ni mimi tu au wote? MB za Vodacom zinawahi kuisha kuliko matumizi.

Vodacom kunani?
Ukipunguza ku-download mafaili mengi kwenye simu, punguza kuingia instagram, Twitter, na ku-download kila document, clips kwenye magroup ya WhatsApp utafaidi, japo kuwa voda ni majizi ila nasi pia tuna matumiz yasiokuwa na msingi, mfano tnatuma kila mara videos kwenye magroup ,ku-download videos kwenye YouTube, vidmate nk

Ila ni kweli n majizi sana sema ukiwa umenunua MB za promotion ndo kabisaaaaaa zinaliwa sana .
 
Ukiwa unasafiri ukifika mahali unatakiwa kulala, kuna kuwepo na G. House za 30,000 za 20,000 za 10,000 na hata za 5,000 kwahyo ni wewe tu kuchagua ukalale wapi.
Haushikiwi bunduki
 
Jamani ni mimi tu au wote? MB za Vodacom zinawahi kuisha kuliko matumizi.

Vodacom kunani?
Mitandao yote Ndugu wanaiba Kama hawana akiri nzuri Hali ya maisha kuwa ngumu inapelekea yoote hayo waliokwenye hicho kitengo ndipo wanapoponea wanaumiza hatariii haijawahi tokea ni janga kubwa mno maanaa wanajua kuwa Hakuna wa kuwakamata wanajua kuwa watu wako kule kakonko watakuja lini dar kuwashitaki, kiukweli Mimi nimeamua tu kukaaa kimya kulia kimya kimya na kuachana na hizi MB maaana nimehama kutafuta unafuu Lakini nikote kote
 
Gharama zake shngapi
sh 50,000 kwa mwaka mzima yaani ukishalipia hicho kiasi unapokea gb 7 kila mwezi mpaka mwaka uishe ila tatizo ni kwamba hufuma inapatikana kwa taabu sana mean kwa wiki wanaweza kutoa nafasi kwa ntu moja au 2 sasa huku n mtandaoni unaweza kuomba uungwe afu ukaona kimya kingi bila kuungwa hali inayoweza kusababisha kuingiwa hofu ya utapeli.
 
Back
Top Bottom