MB za Vodacom kuwahi kuisha

MB za Vodacom kuwahi kuisha

Aisee kwa wiki mbili nimeweka karibu GB 5 zinaisha haraka mno,kuja kucheck data plan kwenye simu,kwa mda huo simu inaniambia imetumia MB 350.
Kwa maana nyingine GB 4 na zaidi zimepigwa na Hawa watu,
Kiufupi nimeamua kupunguza sana matumizi ya internet,sipendagi ujinga kabisa
 
Inahitajika kampeni nguvu ya kuhamasisha kuikacha voda hawa ni matapeli pamoja ni kweli wana speed nzuri lkn sasa wote tuseme baasi nimeanza kum convince mke wangu ndugu wazazi mabest sasa taratibu voda tunaihama
 
Hizo GB zako namaliza ndani ya masaa 7 na hakuna chochote ntakachokuwa nimepakua mwisho wa mwaka nitapiga hesabu nitakuwa masikini kwa mtindo huu
mkuu umeelewa post angu? Kuna sehemu nimesema kuwa mtu hawezi kuzimaliza? Maana hata mimi nikiamua kupakua vitu nazimaliza kwa masaa 2 tu afu Mimi hizo gb ni kwa mwezi mzima na kazi zake ni kusoma tu habari kugoogle n.k sina matumizi makubwa kihivyo nashangaa unasema unamaliza kwa masaa 7 kuna watu wanamaliza hadi TB 1 Kwa siku.
hivyo kila moja anajikuna kwa kadri anavyoweza na kwa kazi yake mkuu sijasema hazihishi.
Je na yule ambaye anajiunfa gb 1 kwa wiki utamchukuliaje?
 
mkuu umeelewa post angu?
Umeweka screenshot ya GB zako kibao tena za muda mrefu.
Hizo ofa hata Voda wanazo

Kuna sehemu nimesema kuwa mtu hawezi kuzimalize?
Mada inahusu MB za Voda kuwahi kuisha ukaleta zako ndio maana nikasema hizo chap tu mimi nazimaliza hazichui round

Mimi hizo gb ni kwa mwezi mzima na kazi zake ni kusoma tu habari kugoogle n.k sina matumizi makubwa kihivyo nashangaa unasema unamaliza kwa masaa 7 kuna watu wanamaliza hadi TB 1 Kwa siku.
Nani huyo mwenye uwezo wa kununua Terabytes wa malipo ya kabla?
ili upate hizo TB kifurushi kinaanzia laki na mitandao hairuhusu mteja wa malipo ya kabla kuwa na kifurushi hiko!

hivyo kila moja anajikuna kwa kadri anavyoweza na kwa kazi yake mkuu sijasema hazihishi.
Je na yule ambaye anajiunfa gb 1 kwa wiki utamchukuliaje?
😝😝😝 bado hujawa mtumiaji mzuri wa Internet! Mimi napata GB 2.5 kwa siku 7 kutoka Vodacom kwa shilingi 1500/= ila hazimalizi masaa
 
Umeweka screenshot ya GB zako kibao tena za muda mrefu.
Hizo ofa hata Voda wanazo

Mada inahusu MB za Voda kuwahi kuisha ukaleta zako ndio maana nikasema hizo chap tu mimi nazimaliza hazichui round.
mkuu ndio maana nikakwambia kuwa hujaelewa post yangu kasome tena.
Mada inahusu mbs za voda kuisha fasta na ndio maana mimi nikacomment kuwa ninachimbo langu sina stress na nikascreenshot kuonesha kuwa natumia tigo na sio voda kwani nimesema kuwa natumia voda ila mbs zangu haziishi??
Kwani ni wadau wangapi wamesema kuwa wao wamehamia tigo,ttcl,halotel n.k?
 
😝😝 bado hujawa mtumiaji mzuri wa Internet! Mimi napata GB 2.5 kwa siku 7 kutoka Vodacom kwa shilingi 1500/= ila hazimalizi masaa
mkuu kumaliza mbs au gb ndio matumizi mazuri ya internet? Kila moja anatumia internet kwa faida yake na kwa vitu anavyohitaji yaani mpakuaji wa movies au mtazamaji wa tamthilia online akikwambia gb 2 anamaliza kwa siku ndio utamuona ni mtumiaji mzuri wa internet?
Mitandao natumia kwa faida mzee na sio kushindana nayo pia kumbuka sehemu yangu ya kuniingizia kipato hakihusiani kabisa na matumizi ya internet kwahiyo unataka hizo mbs nizimalizeje ili niwe mtumiaji mzuri wa internet? 😁😁😁 unachekesha sana budha.
 
Gharama sh ngapi we sema halafu si inalipwa baada ya huduma kutolewa Depal kumbe nilijibiwa njoo
unalipia sh 50,000 na baada ya hapo unakuwa unapokea gb7 kila mwezi kwa mwaka mzima ila rejea maelezo yangu huko juu kuwa naow huduma inasumbua. Maana kwa wiki wanaweza toa nafasi moja tu.
 
mkuu kumaliza mbs au gb ndio matumizi mazuri ya internet? Kila moja anatumia internet kwa faida yake na kwa vitu anavyohitaji yaani mpakuaji wa movies au mtazamaji wa tamthilia online akikwambia gb 2 anamaliza kwa siku ndio utamuona ni mtumiaji mzuri wa internet?
Mitandao natumia kwa faida mzee na sio kushindana nayo pia kumbuka sehemu yangu ya kuniingizia kipato hakihusiani kabisa na matumizi ya internet kwahiyo unataka hizo mbs nizimalizeje ili niwe mtumiaji mzuri wa internet? 😁😁😁 unachekesha sana budha.
Internet is not a fad dude! Ni lazima utumie internet ipasavyo as long as una uwezo wa kununua bando la Internet kila linapoisha!

Ili kuthibitisha kwamba internet inapaswa kutumiwa to the maximum na kulingana na gharama zake kuwa kubwa watu wanafunga fibers kwenye majumba yao.
Sasa mfano wewe una laptop, iPad na Smartphone alafu matumizi yako ya data kwa mwezi ni 1 GB seriously?

My brother hau stream chochote mtandaoni? Hauandiki barua zako za kawaida na pepe haraka mtandaoni?
Hauchezi hata ka kamari? Jamani hata huchezi online games?

Aaaah utakuwa unaniangusha sana
 
mkuu ndio maana nikakwambia kuwa hujaelewa post yangu kasome tena.
Mada inahusu mbs za voda kuisha fasta na ndio maana mimi nikacomment kuwa ninachimbo langu sina stress na nikascreenshot kuonesha kuwa natumia tigo na sio voda kwani nimesema kuwa natumia voda ila mbs zangu haziishi??
Kwani ni wadau wangapi wamesema kuwa wao wamehamia tigo,ttcl,halotel n.k?
Tatizo hatuelewani na wewe unakinzana na mada ya uzi.
Mada inasema MB za voda zinaisha haraka wewe umeleta za chimbo lako la tigo hizo hata voda wanazo tena kwa speed ya hatari ila kuisha kwake sasa hahahah funny
 
unalipia sh 50,000 na baada ya hapo unakuwa unapokea gb7 kila mwezi kwa mwaka mzima ila rejea maelezo yangu huko juu kuwa naow huduma inasumbua. Maana kwa wiki wanaweza toa nafasi moja tu.
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Back
Top Bottom