MB za Vodacom kuwahi kuisha

Voda wanakuuzia 2GB jina tu lkn kiuhalisia ni 1GB na pont kidogo sana. Unadownlod file la 2GB unapata imepakuwa 1GB na vipoint alafu na bando limekata yani ni wezi sana
Niliunga GB 2, nikaanza ku download file la mb 600, ata mb 500 haikufika naambiwa nimetumia asilimia 90, ghafla 510mb naambiwa mb za kifurushi chako cha sh.... kimekwisha.

Ata sikutaka kujisumbua wala kulalamika, sababu nilijitakia mwenyewe kutumia line ya voda (I.e. niliipenda mwenyewe), nikatoa tu line ya voda kiupole nikaweka ya tigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…