Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Jamani ni mimi tu au wote? MB za Vodacom zinawahi kuisha kuliko matumizi.
Vodacom kunani?
Ukipunguza ku-download mafaili mengi kwenye simu, punguza kuingia instagram, Twitter, na ku-download kila document, clips kwenye magroup ya WhatsApp utafaidi, japo kuwa voda ni majizi ila nasi pia tuna matumiz yasiokuwa na msingi, mfano tnatuma kila mara videos kwenye magroup ,ku-download videos kwenye YouTube, vidmate nkJamani ni mimi tu au wote? MB za Vodacom zinawahi kuisha kuliko matumizi.
Vodacom kunani?
Brenda = BlenderVoda wapuuzi sana mm line yenyew nimeweka kwenda brenda nimesaga na juice nimekunywa
Mimi nina kachimbo kangu huku mdogo mdogo nishasahau stress za mbsView attachment 1267041
tigo ndio mpango mzimaka chimbo gani haka mkuu
Mitandao yote Ndugu wanaiba Kama hawana akiri nzuri Hali ya maisha kuwa ngumu inapelekea yoote hayo waliokwenye hicho kitengo ndipo wanapoponea wanaumiza hatariii haijawahi tokea ni janga kubwa mno maanaa wanajua kuwa Hakuna wa kuwakamata wanajua kuwa watu wako kule kakonko watakuja lini dar kuwashitaki, kiukweli Mimi nimeamua tu kukaaa kimya kulia kimya kimya na kuachana na hizi MB maaana nimehama kutafuta unafuu Lakini nikote koteJamani ni mimi tu au wote? MB za Vodacom zinawahi kuisha kuliko matumizi.
Vodacom kunani?
Mkuu niingize na mimi uko chimbo [emoji847]Mimi nina kachimbo kangu huku mdogo mdogo nishasahau stress za mbsView attachment 1267041
ila ni gharama kidogo afu pia huduma ina patikana kwa kusua sua kidg hivy unawez niona tapeli pale ambapo ntakuwa nakwambia subir subirMkuu niingize na mimi uko chimbo [emoji847]
Gharama zake shngapiila ni gharama kidogo afu pia huduma ina patikana kwa kusua sua kidg hivy unawez niona tapeli pale ambapo ntakuwa nakwambia subir subir
sh 50,000 kwa mwaka mzima yaani ukishalipia hicho kiasi unapokea gb 7 kila mwezi mpaka mwaka uishe ila tatizo ni kwamba hufuma inapatikana kwa taabu sana mean kwa wiki wanaweza kutoa nafasi kwa ntu moja au 2 sasa huku n mtandaoni unaweza kuomba uungwe afu ukaona kimya kingi bila kuungwa hali inayoweza kusababisha kuingiwa hofu ya utapeli.Gharama zake shngapi
Nadhani chini ya hapo.Matapeli makubwa!! ukipata MB, uhalisia ni nusu ya kile wanachotaja au pungufu zaidi kwa mfano MB 100 ukweli ni MB50 au 40 ndio zilizopo.