Hizo GB zako namaliza ndani ya masaa 7 na hakuna chochote ntakachokuwa nimepakua mwisho wa mwaka nitapiga hesabu nitakuwa masikini kwa mtindo huuMimi nina kachimbo kangu huku mdogo mdogo nishasahau stress za mbsView attachment 1267041
mkuu umeelewa post angu? Kuna sehemu nimesema kuwa mtu hawezi kuzimaliza? Maana hata mimi nikiamua kupakua vitu nazimaliza kwa masaa 2 tu afu Mimi hizo gb ni kwa mwezi mzima na kazi zake ni kusoma tu habari kugoogle n.k sina matumizi makubwa kihivyo nashangaa unasema unamaliza kwa masaa 7 kuna watu wanamaliza hadi TB 1 Kwa siku.Hizo GB zako namaliza ndani ya masaa 7 na hakuna chochote ntakachokuwa nimepakua mwisho wa mwaka nitapiga hesabu nitakuwa masikini kwa mtindo huu
Umeweka screenshot ya GB zako kibao tena za muda mrefu.mkuu umeelewa post angu?
Mada inahusu MB za Voda kuwahi kuisha ukaleta zako ndio maana nikasema hizo chap tu mimi nazimaliza hazichui roundKuna sehemu nimesema kuwa mtu hawezi kuzimalize?
Nani huyo mwenye uwezo wa kununua Terabytes wa malipo ya kabla?Mimi hizo gb ni kwa mwezi mzima na kazi zake ni kusoma tu habari kugoogle n.k sina matumizi makubwa kihivyo nashangaa unasema unamaliza kwa masaa 7 kuna watu wanamaliza hadi TB 1 Kwa siku.
πππ bado hujawa mtumiaji mzuri wa Internet! Mimi napata GB 2.5 kwa siku 7 kutoka Vodacom kwa shilingi 1500/= ila hazimalizi masaahivyo kila moja anajikuna kwa kadri anavyoweza na kwa kazi yake mkuu sijasema hazihishi.
Je na yule ambaye anajiunfa gb 1 kwa wiki utamchukuliaje?
Mzee baba TTCL wapo vizur mno labda angalia setingi zako binafsi nawakubali sana kwanza mb zao zinaisha kulingana na matumizi yakoMimi TTCL yangu inaandika 2G halafu haiwezi kudownload chochote, vipi ya kwako iko poa?
Akikujibu nitagMkuu niingize na mimi uko chimbo [emoji847]
mkuu ndio maana nikakwambia kuwa hujaelewa post yangu kasome tena.Umeweka screenshot ya GB zako kibao tena za muda mrefu.
Hizo ofa hata Voda wanazo
Mada inahusu MB za Voda kuwahi kuisha ukaleta zako ndio maana nikasema hizo chap tu mimi nazimaliza hazichui round.
Mpaka sasa sijajibiwa mama [emoji134]Akikujibu nitag
mkuu kumaliza mbs au gb ndio matumizi mazuri ya internet? Kila moja anatumia internet kwa faida yake na kwa vitu anavyohitaji yaani mpakuaji wa movies au mtazamaji wa tamthilia online akikwambia gb 2 anamaliza kwa siku ndio utamuona ni mtumiaji mzuri wa internet?ππ bado hujawa mtumiaji mzuri wa Internet! Mimi napata GB 2.5 kwa siku 7 kutoka Vodacom kwa shilingi 1500/= ila hazimalizi masaa
unalipia sh 50,000 na baada ya hapo unakuwa unapokea gb7 kila mwezi kwa mwaka mzima ila rejea maelezo yangu huko juu kuwa naow huduma inasumbua. Maana kwa wiki wanaweza toa nafasi moja tu.Gharama sh ngapi we sema halafu si inalipwa baada ya huduma kutolewa Depal kumbe nilijibiwa njoo
Internet is not a fad dude! Ni lazima utumie internet ipasavyo as long as una uwezo wa kununua bando la Internet kila linapoisha!mkuu kumaliza mbs au gb ndio matumizi mazuri ya internet? Kila moja anatumia internet kwa faida yake na kwa vitu anavyohitaji yaani mpakuaji wa movies au mtazamaji wa tamthilia online akikwambia gb 2 anamaliza kwa siku ndio utamuona ni mtumiaji mzuri wa internet?
Mitandao natumia kwa faida mzee na sio kushindana nayo pia kumbuka sehemu yangu ya kuniingizia kipato hakihusiani kabisa na matumizi ya internet kwahiyo unataka hizo mbs nizimalizeje ili niwe mtumiaji mzuri wa internet? πππ unachekesha sana budha.
Tatizo hatuelewani na wewe unakinzana na mada ya uzi.mkuu ndio maana nikakwambia kuwa hujaelewa post yangu kasome tena.
Mada inahusu mbs za voda kuisha fasta na ndio maana mimi nikacomment kuwa ninachimbo langu sina stress na nikascreenshot kuonesha kuwa natumia tigo na sio voda kwani nimesema kuwa natumia voda ila mbs zangu haziishi??
Kwani ni wadau wangapi wamesema kuwa wao wamehamia tigo,ttcl,halotel n.k?
Sawa mkuu nimekuelewaunalipia sh 50,000 na baada ya hapo unakuwa unapokea gb7 kila mwezi kwa mwaka mzima ila rejea maelezo yangu huko juu kuwa naow huduma inasumbua. Maana kwa wiki wanaweza toa nafasi moja tu.