MB za Vodacom kuwahi kuisha

Leo nimejiunga na kifurushi cha unv cha 24hrs kwa Tshs.1200, lakini nimedumu nacho kwa chini ya masaa manne!! Mpaka sasa sielewi aise!
 
Hujui ulisemalo,unadhani uwezo wako ndio wa majority? saa nyingine kama hujisikii kuchangia bora ukae kimyaa
 
Panahitajika kiongozi mkubwa afanye ziara Vodacom asikie malalamiko ya wamanchi.
 
Jamani kiulweli voda vifurushi viko jui sana harafu wanakula mb baraa
 
Hiki kilio cha mbs mimi kama hakinihusu ila nakisikia. Kwanza natumia vodacom kifurushi cha chuo huku mimi sijawahi hata kukanyaga chuo. Pili ofisini kwetu kina wi-fi hvyo nikifika tu kibaruani sa 2 ni wifi hafi natoka, speed ya hatari, zigo la gb 10 ni chini ya dakika moja.

Vodacom wasikir kilio cha wadau, wapunguze bei ya vifurushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…