Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Hivi ni kwanini wengi wanapenda kuwaacha na hizo nywele za kuzaliwa? me napenda kunyoa ziote mpya
Hiyo mba kawaida watoto wote wanakua nayo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Fuata ushauri wa Evarm.
halafu umpake mafuta mengi mwilini ili hiyo masalia ya ngozi iliyokufa itoke. Wakati wa kumuogesha pia unaweza kumsugua na ki-baby towel taratibu sana. Ila usiwe na haraka, itatoka tu yote na kuisha.

hongera kwa baby mpya

asante sana
 
Last edited by a moderator:
Hi all, naomba msaada kwa anaefahamu hili, mimi ni mama wa mtoto wa miezi miwili now, mwanangu ana tatizo la ukavu kichwani kunakomsababishia mba naona kama atakuwa anawashwa sema bado ajajua cha kufanya.

Kwa sasa nampaka mafuta ya nazi ya kutengeneza nyumbani baada ya product za johnson kumkataa akapata rashes nikashauriwa na doctor kumpaka olive oil au mafuta ya nazi ya kutengeneza mwenyewe.

Sina mpango wa kumnyoa nywele mwanangu pia ndio maana ningefurahi kupata solution ya tatizo hili, na ningependa kufahamu pia kama kuna madhara yeyote kitaalamu kama sitomnyoa mtoto nywele zake za utotoni kabisa.

Nitashukuru kwa msaada.

Mba ni kawaida ila mnyoe nywele za mwanzo then uanze kumfuga upya...Goodluck
 
Habari?

Sijawahi kuwaga na nywele kichwani tangu utoto wangu uwa napenda kipara, sasa miaka miwili iliyopita niliwahi kuwa na nywele nyingi kchwan cha ajabu nmepata ugonjwa wa mba usio pona wala kueleweka.

Nikikaa wiki mbili bila kunyoa nikija kunyoa nakuta ukoko mwingi kichwani na kichwa kinawasha.

Nimekwenda hospital Mikocheni kwa Dr Kairuki nkamwelezea Dr akanipa dawa inaitwa Terbifin nkatumia mpaka imekwisha lakini bado, nini chakufanya hapa?

Msaada kwa wenye kufahamu tiba.

Asante
 
yes kaz zangu ni za ujenz wkt mwingine nakuwa juani. ila nn dawa yake mkuu? nafkiri ngepata tiba ya vidonge au hospital ambayo wataweza nisaidia ili tatizo mana naisi zimefika kwenye damu sasa.
 
Utaangaika sana na ivyo vidonge. Nakushauri utumie sabuni ya unga kujisaugua kichwani kila baada baada ya sikukadhaa. Hiyo inatokana na maji ya sabuni yakikutana na mafuta/ jasho la nywele
 
Kwanza kuna unatumia maji ya chumvi kuoga na sabuni za kawaida huo mba huwezi kutoka...mm nakushauri utumie sabuni za magadi na pia uwe unajisugua vizur kchwani unapooga.
 
Chukulia tatizo lako limekwisha.

Tumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kila siku mara moja kwa mwezi mmoja mfululizo.

Siku ya kwanza mpaka ya tatu unaweza kuona mba umezidi, usistuke ndiyo inafanya kazi ya kuutoa kabisa, baada ya siku tatu utaanza kuhisi fresh kabisa na nywele zitaanza kukuwa kwa haraka, tumia mwezi mzima kila siku mara moja, unaweza kupaka usiku, ukikauka unalala nao, asubuhi unakoga kama kawaida tu.

Huu unasaidia si mba tu bali kila aina ya matatizo ya ngozi.

Soma zaidi: https://www.jamiiforums.com/jf-doct...na-zaidi-aunt-zainabs-natural-super-clay.html

https://www.jamiiforums.com/matanga...ural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html
 
kabla cjakutafuta nieleze solution unayotumia kama ni madawa ya kienyeji au ya kizungu na ni dawa gani kama mwenzio alvyojinadi hapo juu
 
Habari?

Sijawahi kuwaga na nywele kichwani tangu utoto wangu uwa napenda kipara, sasa miaka miwili iliyopita niliwahi kuwa na nywele nyingi kchwan cha ajabu nmepata ugonjwa wa mba usio pona wala kueleweka.

Nikikaa wiki mbili bila kunyoa nikija kunyoa nakuta ukoko mwingi kichwani na kichwa kinawasha.

Nimekwenda hospital Mikocheni kwa Dr Kairuki nkamwelezea Dr akanipa dawa inaitwa Terbifin nkatumia mpaka imekwisha lakini bado, nini chakufanya hapa?

Msaada kwa wenye kufahamu tiba.

Asante
Dawa ya kukutibu huo mba kichwani ninayo ukiweza nitafute kwa wakati wako ukinitaka mimi nikutibie bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Nakushauri unyoe nywele zako kwa wembe(zungu) bila kujikata na ujipake maji ya betri SULPHURIC ACID,(kiasi kidogo, tumia kidole na kifuniko cha plastik kuhifadadhia) ambayo hayajatumika na usugue kidogo, subiri baada ya dk 3 na uoshe kwa sabuni ya shampoo pekee. utawashwa lakin vumilia! LINDA MACHO, PUA, MDOMO NA MASIKIO YASIGUSWE NA ACID.
 
We unataka adhurike ase, si mshauri atumie.
 
Nakushauri unyoe nywele zako kwa wembe(zungu) bila kujikata na ujipake maji ya betri SULPHURIC ACID,(kiasi kidogo, tumia kidole na kifuniko cha plastik kuhifadadhia) ambayo hayajatumika na usugue kidogo, subiri baada ya dk 3 na uoshe kwa sabuni ya shampoo pekee. utawashwa lakin vumilia! LINDA MACHO, PUA, MDOMO NA MASIKIO YASIGUSWE NA ACID.

ngumu kumesa ase&!!!
 
Ninamba wa kichwani unanisumbua sana nitumie dawa gani ili niondokane na tatizo hilo mana limekuwa kero kwangu. help me please
 
Piga sindano mkuu watakauka wote,baada pendelea kuogea ant dandruff shampoo ambayo uua fungus na bacteria
 
Habarini wanajami.

Naandika thread hii kuomba ushauri ili nitatutue tatizo la mba kichwani. Nina mba mwingi sana ila huwa hauwashi ukiwasha ni kidogo sana. Nategemea kupata ushauri humu coz naamini kuna wataalamu ama waliofanikiwa kutatua jambo kama langu.

Thanks in advance n God bless you!
 
Back
Top Bottom