Mbaazi siku hizi ni biashara kubwa; ni kawaida kusikia kilo ni Tsh. 3000 na zaidi

Mbaazi siku hizi ni biashara kubwa; ni kawaida kusikia kilo ni Tsh. 3000 na zaidi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Watu ukiwaeleza unaona kama masihara embu jaribu kulima mbaazi uje ulete mrejesho hapa zao zuri kabisa palizi mara moja unafeli WAPI? OTESHA.

DSC_0461.JPG
 
Inapenda baridi ya kawaida na ardhi nyingi inazaa pata hekari zako tatu we hapo una tani tatu Mpaka nne. Ukisizaga baada ya kukauka Kwa heka zako tatu ukikaa vizuri kilo maelfu haya kilo uza 2500 hujakosa hela.

Mbaazi hazina gharama sijui ya kupulizia dawa ukipanda umepanda..
 
Na uzuri wa shambani Kwa kupanda mbaazi unaweza ukapanda pia kunde au Maharage kama sehemu iko vzr
 
Baada ya mbaazi zao lingine la biashara naloona NALIKUBALI ni UFUTA.
 
Back
Top Bottom