Mbaazi siku hizi ni biashara kubwa; ni kawaida kusikia kilo ni Tsh. 3000 na zaidi

Sikatai ila ni mindset za hao wakulima ndiyo mbovu. Wanatosheka mapema na kusifia rais ambaye ndiye kawafanya wawe maskini.

Samia , Kawafanya wawe masikini vipi ?? yaani kuwapatia soko la kuuza mbaazi kwa bei ya zaidi ya shilingi 2000 badala ya 200 ??
 
Kumbe najibizana na mtu wa aina hii? Kwa heri maana huenda uelewa wako ni mdogo hata kuliko wa hao wakulima.
 
Tanzania tuna safari ndefu sana kama uelewa wa watu wenye uwezo wa kutumia Internet ni kama wako!
Kwahio kisa sishei vision yako tayari imeshakua shida😀😀😀au ndo nyie mnaotoaga mapovu huku mkitaka watu waandamane kwa ajili yenu ma keyboard warriors
 
Wewe ni product halisi ya elimu ya Bongo. Hata kuandika kiswahili kunakushinda. Ukienda RITA na the likes ni janga la taifa. Watu wame-graduate chuo kikuu lakini hawawezi kunakili details za waombaji kwenye vyeti. Mtu anajiandikia jina anavyojua yeye. ''Kwahio'' ni nini?
 
Naona umejipa ajira ya memkwa,,,,,na hio elimu yako ya mkoloni utaendelea tu kutokwa povu,,,ila hamna atakaewafanyia kazi zenu za kishenzi,,,,,,ingieni uwanjani wenyewe mkatoe mapovu yenu vizuri,,,,,,na uzuri kwa sasa mnapewa hadi escort ya polisi, timizeni ndoto zenu wenyewe
 
My friend, there is no such thing as colonial education versus normal education. We all go to school to learn the fundamental skills that help us survive in this complex world. Therefore, encountering someone who has graduated from university but cannot write simple and basic words is truly disheartening
 
Kwahio utafanyaje??? Pambana na hali yako,,acha tuuze mbaazi tule life we endelea na u sadist wako
 
Do you even know the meaning of sadistic ambayo hujui hata kuiandika? Unadhani nachukia watu kuuza mbaazi? Laiti ungejua nilitamani sana wawe kwenye hatua ya juu zaidi na ndiyo kinachonifanya vocal kwenye hii serikali ya kushindwa.
 
Pambana na hali yako bwasheee,,,mapovu yako hayabadili kitu.......wametumia nguvu zao wenyewe wamelima wamevuna wameuza, wanakula maisha,,,sio lazima mtu akae na vision zako za ajabu ajabu
 
Mimi napambana na hali yangu tangu nikiwa mdogo. Hili nilifundishwa na wazazi wangu na ndiyo mantra yangu. Poleni sana nyie mnaokuja kulijulia hili ukubwani.
 
Ndo na hao wanapambana na zao ila povu linamtoka mwingine........endelea na fani yako ya memkwa
 
Hadi 2030 hio,,,,,,,kwa idadi hii ya ma keyboard warriors hamna la kufanya
 
Umeshakariri na maneno ''keyboard warriors'' siyo! Ukiambiwa usema maana yake unaijua?
images.jpeg-126.jpg
images.jpeg-124.jpg
images.jpeg-125.jpg
 
Back
Top Bottom