ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio kazi nzuri ya Rais Samia kuifungua Nchi na kuondoa middlemen na mauzo kufanyika via TMXWatu ukiwaeleza unaona kama masihara embu jaribu kulima mbaazi uje ulete mrejesho hapa zao zuri kabisa palizi mara moja unafeli WAPI? OTESHA.
View attachment 3033298