Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Usikimbie swali , nilitegemea utanijibu Huo upumbavu ni upi ?Kumbe najibizana na mtu wa aina hii? Kwa heri maana huenda uelewa wako ni mdogo hata kuliko wa hao wakulima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikimbie swali , nilitegemea utanijibu Huo upumbavu ni upi ?Kumbe najibizana na mtu wa aina hii? Kwa heri maana huenda uelewa wako ni mdogo hata kuliko wa hao wakulima.
Wewe ni part ya hawa ma-idots wasiojitambua kwa sababu ya athari za kielimu.
Wacha we na ka kiingereza kwa mbaaali,, kweli umewin maisha kuliko wale wauza mbaazi,,,ila shida wale wako na furaha na wanakula maisha,,wewe uliewazidi naona unakereka tu na povu jiiingi,,kama hizo elimu zenu ni za kuwajaza mapovu haya konguratuleshenziWewe ni part ya hawa ma-idots wasiojitambua kwa sababu ya athari za kielimu.
Criticizing does not show that you are angry or suffering. This is something many Tanzanian citizens have been led to believe. Do you know the meaning of empathy? If you lack empathy, it is very difficult to understand why others care and criticize when they see others being hurtWacha we na ka kiingereza kwa mbaaali,, kweli umewin maisha kuliko wale wauza mbaazi,,,ila shida wale wako na furaha na wanakula maisha,,wewe uliewazidi naona unakereka tu na povu jiiingi,,kama hizo elimu zenu ni za kuwajaza mapovu haya konguratuleshenzi
Algorithm yako inakukana.......povu jemaCriticizing does not show that you are angry or suffering. This is something many Tanzanian citizens have been led to believe. Do you know the meaning of empathy? If you lack empathy, it is very difficult to understand why others care and criticize when they see others being hurt
Kakupunguzia kujamba..Akunyimae mbaazi
Korosho tumelipwa shilingi 900 kwakilo msimu uliopitaHii ni kazi nzuri ya ziara ya Samia India ,Baba yenu alivuruga Kila kitu
Na samia huyohuyo kavunja rekodi mwaka jana katulipa shilling 900 kwa kilo kwenye koroshoSamia , Kawafanya wawe masikini vipi ?? yaani kuwapatia soko la kuuza mbaazi kwa bei ya zaidi ya shilingi 2000 badala ya 200 ??
Nimecheka mie. Wanantu wanavituko nyie.
Kigoma watakuwa matajiri sasa. Maana hizo mbegu zinaota mno. Au soko ni mtwara tu kwa nduGu zake MAMA ?
Acha chuki dogo mbaazi zimeanza kuwa dili tangu utawala wa kikwete...kwanini mnaichukia sana kusini hivi iliwakosea nini?Kigoma watakuwa matajiri sasa. Maana hizo mbegu zinaota mno. Au soko ni mtwara tu kwa nduGu zake MAMA ?
Lini wewe ukawa kubwa kuliko mimi ?Acha chuki dogo mbaazi zimeanza kuwa dili tangu utawala wa kikwete...kwanini mnaichukia sana kusini hivi iliwakosea nini?
Wewe kiumri ni sawa na mtoto wangu wa kike kwasababu hakuna mwenye umri mkubwa akawa mpuuzi kama weweLini wewe ukawa kubwa kuliko mimi ?
Mbaazi choroko dengu ni vilimo vya ili mradi siku ipite.
2010-2014 bei ya mbaazi ilikua inarange kati ya 900-1400 kwa kilo 1, mwaka 2015 kilo Moja tuliuza kwa 2500-3000 tulifaidi wahindi & wakenya walinunua san, baada ya hapo CCM mkatuletea kichaa akawa rais 2016-2020 kwa kilo Bei ikawa 200-500Hii ni kazi nzuri ya ziara ya Samia India ,Baba yenu alivuruga Kila kitu
hawezi kunyima na kunde(kakuepushia mashuzi)Akunyimae mbaazi