Mbaazi siku hizi ni biashara kubwa; ni kawaida kusikia kilo ni Tsh. 3000 na zaidi

Inapenda baridi ya kawaida na ardhi nyingi inazaa pata hekari zako tatu we hapo una tani tatu Mpaka nne. Ukisizaga baada ya kukauka Kwa heka zako tatu ukikaa vizuri kilo maelfu haya kilo uza 2500 hujakosa hela.

Mbaazi hazina gharama sijui ya kupulizia dawa ukipanda umepanda..
 
Na uzuri wa shambani Kwa kupanda mbaazi unaweza ukapanda pia kunde au Maharage kama sehemu iko vzr
 
Baada ya mbaazi zao lingine la biashara naloona NALIKUBALI ni UFUTA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…