Mbabe Putin kuitembelea Iran July 19

Watoto wa yakobo siku hivi hawavumi sana!
 
Putin sio Kagame!

Unamzungumzia Putin mbabe wa vita wa dunia.
 
Atakua anakimbia huyo bila shaka ,
 
Jitahidi kuiruhusu akili yako iwe huru kufikiria na sio kufikirishwa. Mnapenda sana kukuzishwa mambo.
 
Hivi unafahamu historia ya Putin kwenye ujasusi? hivi inaifaham iliyokuwaShirika la kijasusi la Soviet yaani Komittet Gatzudastvenoy Bezopasnost (KGB)? Putin ni Senior kama siyo Sufurior wa ujasusi hili hata NSA, CIA, FBI, M16, M15, GRU, Red Hand wa ufaransa wanamfaham, Putin amefanya ujasusi ktk nyanja mbalimbali na nchi mbalimbali duniani eg USA, UK, Germany (hapa kaishi kama nyumbani) hadi Australia, Austria-Hungary n.k huyu binadam anaeitwa Putin anawajua western kuliko wao wanavyojijua.
Kumbuka middle east mifumo mingi ya usalama asili yake ni USSR na ndicho kipindi ambacho Putin amefanya kazi sana ktk ujana wake wote. Hivyo akienda middle east anakwenda Kwa wanafunzi wake.
 
Mossad wanaofanya shughuli zao Iran wote watajipa likizo kinyume na hvyo watakula za kichwa bila huruma maana Kwa muda wazaidi ya wiki Russians watakuwa wapo tehran counter intelligence ni ya Russians tupu
Mbona urusi wa Israel ndo kibao Sasa kiasili au ukisikia abromovich kibopa yule wa Chelsea zamani unadhani mngoni? [emoji23]
 
Ni jambo jema
 
Unamaanisha Nini unaposema senior?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…