Usikereke na mawazo ya mtu ndugu.Jitahidi kuiruhusu akili yako iwe huru kufikiria na sio kufikirishwa. Mnapenda sana kukuzishwa mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikereke na mawazo ya mtu ndugu.Jitahidi kuiruhusu akili yako iwe huru kufikiria na sio kufikirishwa. Mnapenda sana kukuzishwa mambo.
Haaaahaaaahaaaah!!!! Ngoja nicheke tu kwasababu humu Mnajaribu kuelezea mifumo ya kijasusi lakini wengi fikra zenu zipo limited kwenye mambo haya.Hivi unafahamu historia ya Putin kwenye ujasusi? hivi inaifaham iliyokuwaShirika la kijasusi la Soviet yaani Komittet Gatzudastvenoy Bezopasnost (KGB)? Putin ni Senior kama siyo Sufurior wa ujasusi hili hata NSA, CIA, FBI, M16, M15, GRU, Red Hand wa ufaransa wanamfaham, Putin amefanya ujasusi ktk nyanja mbalimbali na nchi mbalimbali duniani eg USA, UK, Germany (hapa kaishi kama nyumbani) hadi Australia, Austria-Hungary n.k huyu binadam anaeitwa Putin anawajua western kuliko wao wanavyojijua.
Kumbuka middle east mifumo mingi ya usalama asili yake ni USSR na ndicho kipindi ambacho Putin amefanya kazi sana ktk ujana wake wote. Hivyo akienda middle east anakwenda Kwa wanafunzi wake.
Fafanua mkuu umemaanisha nini?Kuchamba kwingi huondoka na mafi na ngoma ikivuma sana hupasuka
Acha kukariri weweIran jamaa wawe wa kabila 12 wamejipenyeza sana mle na wana mawakala wao ndani ya Iran, hivyo wakitaka kufanya yao ni sekunde tu Putin anasahaulika au hata kumpandikizia gonjwa litakalommaliza taratibu ili isionekane kaondoka tu kwa ugonjwa.
Anyway lakini huenda wayahudi hawanashida naye, japo babu wa USA juzi kafanya ziara huko hatujui yaliyopo sirini.
Mental slaveryIran jamaa wawe wa kabila 12 wamejipenyeza sana mle na wana mawakala wao ndani ya Iran, hivyo wakitaka kufanya yao ni sekunde tu Putin anasahaulika au hata kumpandikizia gonjwa litakalommaliza taratibu ili isionekane kaondoka tu kwa ugonjwa.
Anyway lakini huenda wayahudi hawanashida naye, japo babu wa USA juzi kafanya ziara huko hatujui yaliyopo sirini.
Wewe umempa Nini RussiaHivi huna habari kwamba iran anaforce sana ukaribu na Russia??. Iran wana nini cha kumpa Russia??.
Mweleze huyo mbwigiraJitahidi kuiruhusu akili yako iwe huru kufikiria na sio kufikirishwa. Mnapenda sana kukuzishwa mambo.
Lile ni jasusi bobevu wakati midege yake inakwenda Iran unaweza kuta yy akapita kwa njia za teksi kuelekea huko huko Iran
Iran aforce kwa kipi hasa, halaf nan anaenda kwa mwenzake si Putin ndo anaenda Iran na wahenga walisema mwenye shida anamfuata mganga mzee wako Putin anaenda bembeleza apewe drones hilo lipo wazi sana najua wewe ni mnazi kindakindaki wa putin si huwezi kukubali nilichoandikaHivi huna habari kwamba iran anaforce sana ukaribu na Russia??. Iran wana nini cha kumpa Russia??.
Ni kweli Mkuu Refer Osama Bin Laden na mashambulizi ya World Trade Centre mwaka 2001. Angetaka angemwondoa hata George Bush (Rais wa Marekani wa Kipindi hicho), ilibidi Bush afichwe kwenye Handaki kwa muda.Haaaahaaaahaaaah!!!! Ngoja nicheke tu kwasababu humu Mnajaribu kuelezea mifumo ya kijasusi lakini wengi fikra zenu zipo limited kwenye mambo haya.
Kimsingi niseme tu kuwa West hawana sababu kwa sasa kugharimu maisha ya Putin likewise hata Putin hana sababu ya kugharimu Maisha ya wakuu wa West, ndio maana tunaona hata Zeleinsky bado yupo lakini Putin angetaka leo tungezungumza mengine.
Vile vile West/USA wangekuwa na nia ovu kwa Putin hakika tusingesikia hiyo safari yake. KWA HIYO TUSILAZIMISHE ANALYSIS ZA KUJIKWEZA HATA PASIPOSTAHILI. YES NCHI HIZO KUBWA MIFUMO YAO IPO IMARA LAKINI ONCE THE THREAT IS ALARMING THEY WILL NEVER DARE TO RISK.
Milele kama XI JINPIN wa china.Putin mi5 tena,
Hivi nini kitatokea kama Russia atamsaidia Iran [emoji1130] kuunda nyuklia?
Kama una chombo cha moto, hata kiwe kiberiti cha gesi utajua kama kafeli au la. Nenda PUMA usome wese likojePutin amefel pakubwa
Wewe umempa Nini Russia
Iran aforce kwa kipi hasa, halaf nan anaenda kwa mwenzake si Putin ndo anaenda Iran na wahenga walisema mwenye shida anamfuata mganga mzee wako Putin anaenda bembeleza apewe drones hilo lipo wazi sana najua wewe ni mnazi kindakindaki wa putin si huwezi kukubali nilichoandika
Ni kweli Mkuu Refer Osama Bin Laden na mashambulizi ya World Trade Centre mwaka 2001. Angetaka angemwondoa hata George Bush (Rais wa Marekani wa Kipindi hicho), ilibidi Bush afichwe kwenye Handaki kwa muda.
Katika Watu ambao duniani Putin anawaogopa ni hao MOSSAD, maana wapo mpaka Urusi kwenye Serikali yake. Kama ujui Russia ina jimbo (Oblast), inaitwa Jewish Oblast lipo mashariki mwa Russia karibu na Jiji la Vladivostok au karibu na mpaka na North Korea. Pia katika list ya Matajiri 10 wa Urusi, 4 ni Wayaudi kwa asili. Ndio maana Putin 1. Amuui Zelensiky wa Ukraine, maana ni myaudi anaogopa watamfeka pale pale Moscow, 2. Putin, Aliomba msamaha haraka pale Waziri wake Lavrov alipomlaumu Zelensiky wa Ukraine kwamba ana msimamo sana kama Hittler akiwafananisha Wayahudi na Hittler. Ogopa sana wayahudi, Wapo kila sehemu, ndio maana Iran wanaichezea watakavyo.Mossad wanaofanya shughuli zao Iran wote watajipa likizo kinyume na hvyo watakula za kichwa bila huruma maana Kwa muda wazaidi ya wiki Russians watakuwa wapo tehran counter intelligence ni ya Russians tupu
MatakoWewe umempa Nini Russia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lile ni jasusi bobevu wakati midege yake inakwenda Iran unaweza kuta yy akapita kwa njia za teksi kuelekea huko huko Iran