Mbabe Putin kuitembelea Iran July 19

Haaaahaaaahaaaah!!!! Ngoja nicheke tu kwasababu humu Mnajaribu kuelezea mifumo ya kijasusi lakini wengi fikra zenu zipo limited kwenye mambo haya.

Kimsingi niseme tu kuwa West hawana sababu kwa sasa kugharimu maisha ya Putin likewise hata Putin hana sababu ya kugharimu Maisha ya wakuu wa West, ndio maana tunaona hata Zeleinsky bado yupo lakini Putin angetaka leo tungezungumza mengine.

Vile vile West/USA wangekuwa na nia ovu kwa Putin hakika tusingesikia hiyo safari yake. KWA HIYO TUSILAZIMISHE ANALYSIS ZA KUJIKWEZA HATA PASIPOSTAHILI. YES NCHI HIZO KUBWA MIFUMO YAO IPO IMARA LAKINI ONCE THE THREAT IS ALARMING THEY WILL NEVER DARE TO RISK.
 
Acha kukariri wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mental slavery
 
Hivi huna habari kwamba iran anaforce sana ukaribu na Russia??. Iran wana nini cha kumpa Russia??.
Iran aforce kwa kipi hasa, halaf nan anaenda kwa mwenzake si Putin ndo anaenda Iran na wahenga walisema mwenye shida anamfuata mganga mzee wako Putin anaenda bembeleza apewe drones hilo lipo wazi sana najua wewe ni mnazi kindakindaki wa putin si huwezi kukubali nilichoandika
 
Ni kweli Mkuu Refer Osama Bin Laden na mashambulizi ya World Trade Centre mwaka 2001. Angetaka angemwondoa hata George Bush (Rais wa Marekani wa Kipindi hicho), ilibidi Bush afichwe kwenye Handaki kwa muda.
 
Hivi nini kitatokea kama Russia atamsaidia Iran [emoji1130] kuunda nyuklia?

Kelele za US week nzima akilia kwenye media afu itaisha hakuna chochote kitakachotokea. Iran anafukuzia sana hilo deal ndomana yuko karibu sana na Russia. Ila nahisi anazo nyuklia tayari kwa jeuri aliyonayo ni lazima ana nukes zinampa kiburi
 

Akipewa drones kuna shida gani?? Russia ana drones za hatari sana ana stealth drones S-70, afu uje kucompare na hizo za Iran uko serious kabisa.
 
Mossad wanaofanya shughuli zao Iran wote watajipa likizo kinyume na hvyo watakula za kichwa bila huruma maana Kwa muda wazaidi ya wiki Russians watakuwa wapo tehran counter intelligence ni ya Russians tupu
Katika Watu ambao duniani Putin anawaogopa ni hao MOSSAD, maana wapo mpaka Urusi kwenye Serikali yake. Kama ujui Russia ina jimbo (Oblast), inaitwa Jewish Oblast lipo mashariki mwa Russia karibu na Jiji la Vladivostok au karibu na mpaka na North Korea. Pia katika list ya Matajiri 10 wa Urusi, 4 ni Wayaudi kwa asili. Ndio maana Putin 1. Amuui Zelensiky wa Ukraine, maana ni myaudi anaogopa watamfeka pale pale Moscow, 2. Putin, Aliomba msamaha haraka pale Waziri wake Lavrov alipomlaumu Zelensiky wa Ukraine kwamba ana msimamo sana kama Hittler akiwafananisha Wayahudi na Hittler. Ogopa sana wayahudi, Wapo kila sehemu, ndio maana Iran wanaichezea watakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…