Mbabe Putin kuitembelea Iran July 19

Mbabe Putin kuitembelea Iran July 19

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Katika hali ya kuihakikishia Dunia kuwa mambo ni shwari nyumbani Moscow,rais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo Vladimir Putin anatarajiwa kuitembele nchi ya Iran tarehe july 19

Kwa sasa Kremlin ishaweka wazi kuwa haijisumbui wala kujikomba Ulaya kwa akina Macron bali watakwenda na wanaowaelewa
 
M,babe wa kivita .....putin
 
Mossad wanaofanya shughuli zao Iran wote watajipa likizo kinyume na hvyo watakula za kichwa bila huruma maana Kwa muda wazaidi ya wiki Russians watakuwa wapo tehran counter intelligence ni ya Russians tupu
Kuna midege yao kama mitano ivi ile mikubwa sjui ilibeba nn taari yamefika Tehran week iliopita kwa maandalizi
 
Lile ni jasusi bobevu wakati midege yake inakwenda Iran unaweza kuta yy akapita kwa njia za teksi kuelekea huko huko Iran
Iran jamaa wawe wa kabila 12 wamejipenyeza sana mle na wana mawakala wao ndani ya Iran, hivyo wakitaka kufanya yao ni sekunde tu Putin anasahaulika au hata kumpandikizia gonjwa litakalommaliza taratibu ili isionekane kaondoka tu kwa ugonjwa.

Anyway lakini huenda wayahudi hawanashida naye, japo babu wa USA juzi kafanya ziara huko hatujui yaliyopo sirini.
 
Fikiri kabla hujapost,
 
Unadhani majasusi ya Kremlin hayajui hayo yote!!??
 
Back
Top Bottom