Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Jambo la maana sana na la mwanzo sana hili,Homicide? Je, Wazazi wake wote wawili (baba na mama ) wanaishi pamoja?
Wana maelewano ndani ya ndoa?
Uchunguzi wa kina kabisa unapaswa kufanyika ili kubaini ukweli, na kwa bahati mbaya zaidi Jeshi letu la Polisi halina vifaa vya kutosha vya kisayansi vya kufanyia Uchunguzi.
Ingekuwa katika nchi za wenzetu pengine ingekuwa tayari wameshawabaini watu waliobeba maiti ya mtoto huyu na kwenda kuitupa katika msitu wa Jeshi, hiyo ingekuwa kazi ya muda usiozidi masaa sita hadi kupata majibu ya uchunguzi.
nadhani wanapaswa kua miongoni mwa watuhumiwa wa mwanzo kwenye unyama huu hususani ikiwa wako na mgogoro miongoni mwao 🐒