DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwahilo sio jambo Kubwa sana..Hv mfano unakuta mwili umeokotwa huko maporini na yawezekana uso umeharibika POLICE wanaanziaga wapi? Unakuta taarifa zake zitapatikana mda mwngn hadi waliohusika wanapatikana
Kiintelijensia unaweza kujua mpaka Mtu aliyefika eneo hilo kwa siku hiyo wote na unafanya sorting ili kupata exactly wale waliokaribu na Tukio...
Ukiwabana hao utapata Cream waliofanya tukio