Mbagala Dar - Mwanafunzi wa Miaka 7 auawa, mwili wake wakutwa msitu wa Jeshi

Jambo la maana sana na la mwanzo sana hili,

nadhani wanapaswa kua miongoni mwa watuhumiwa wa mwanzo kwenye unyama huu hususani ikiwa wako na mgogoro miongoni mwao 🐒
 
Tatizo muda mwingine, wema hutengeneza uhadui.
Mfano: una gari yako unatembea unamkuta mtu anatembea kwa mguu, jasho linamtililika kwa joto kali la dar, kumbe yeye anawazi umempa nafasi ya kukuzuru na kuondoka na gari yako.
 
Tatizo kubwa zaidi linalloikabili dunia kwa sasa ni watu kukosa Uaminifu. Never trust anyone except yourself.
 
Tatizo muda mwingine, wema hutengeneza uhadui.
Mfano: una gari yako unatembea unamkuta mtu anatembea kwa mguu, jasho linamtililika kwa joto kali la dar, kumbe yeye anawazi umempa nafasi ya kukuzuru na kuondoka na gari yako.
Mkuu ulipoteaga wapi hapa kati? Ni mda hukuonekana jamvin mda mrefu.
 
Hv mfano unakuta mwili umeokotwa huko maporini na yawezekana uso umeharibika POLICE wanaanziaga wapi? Unakuta taarifa zake zitapatikana mda mwngn hadi waliohusika wanapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…