Mbagala, Dar: Polisi yawanyakua watu 27 Walioiba Saruji kwenye ajali

Job well done Police force
 
Haa Haa
Unamkuta Ustadh Na Sigida Lakini Mpigaji Mzuri
Vijiji vyote viko kimtego tu watu wote wanasubiria dili,mzoga ukianguka watu wanafanya yao
Makocho,Mandela etc wezi watupuuu

Ova
 
Hivyo vijiji vya watu wa magendo dili
Wazee wa kufaulisha,wewe huwesi kuvijua
Sukari huko kg1 inauzwa 1000 tu
Ukitaka taili za gari,betri godoro mpya etc unapata
Narudia wakazi wote huko ni wezi

Ova

Hajui kitu huyo mwache aendelee kulala

Hajui Kuna watu wanaserikali yao kwa km Kadhaa za barabara wengine ikiangukia kulia hyo yetu ikiangukia kushoto yenu.

Hajui kuna sehemu watu wanamwaga mafuta ya kula kwenye lami ili Lori likanyage huko mbele yasafari kwenye Kona au mteremko akiingia Kati anakuta hola?
 
Ndomana namuambia aumize kichwa
Wenzake ss tunapuyanga tunaona na kukutana
Na mengi,hatuhadisiwagi
Yah mafuta pale maseyu wajanja tukipitaga tunapitaga na speed 10 mdg mdg wezi wenyewe wanajua ma master wamepita hapa wanapajua,wale wazee wa speed wanaipataga

Ova
 
Hata hivyo polisi walizembea Sana tena Sana. Yaani watu mpaka wanaiba wao walikuepo wapi
Halafu ni asubuhi ndo utajua jinsi gani vyombo vyetu baadhi ya maeneo walivyowezembe ni hatari sana. No frequent road patrol
 

Hao ndo wale akiingia kwenye Basi anataka akae na demu au wale wanaovaa earphone na kulala safari nzima haya Mambo hawawezi kuyajua.

Kuna muda unaamua kupanda Lori ili ujue maisha yakule yapoje na her kwa changamoto unazoziona wapi nawe unaeza pata fursa ya kupata chochote kupitia changamoto hzo.

Nawaoneaga huruma wale wanaochaguaga basi la kupanda eti nataka 2by2 nauli 57k wakati Kuna chuma za 15k kwanza njia zima unapata stori za kila Kijiji ukimaliza safari unakusanya na kuchambua muhimu kwako zen unaingia field kukomaa.
 
Kwani moshi ni bidhaa?
Najaribu kujiuliza tu. Roli likipita 'likadondosha' moshi mweusi, nikivuta hewa yenye ule moshi pia nitashtakiwa kuwa nimeiba moshi? [emoji849][emoji30][emoji6]
 
Kweli kabisa

Hii dunia ni uwanja vita

Mabarabarani kuna visa hatari

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…