Mbagala Maji Meusi (MATITU), mji wa kuogofya

Mbagala Maji Meusi (MATITU), mji wa kuogofya

Tuache na majimatitu yetu....
Endelea na story za vijiweni voo voo...
😁😁😁😁 Mi hom ndo pale mkuu yaani hayo unayoongea hamna kitu
Tuko katika nyakati za kutisha mno,

Tuache masikhara🙏
 
Mkuu endelea kututonya, wachache tunakupata vema sana.

Nati za kiroho zikikazwa sana unaona hata ukitoboa siri hakuna anayekuamini.

Nati zinakazwa kweli kweli, watu wanabaki kuwa mabumunda na mazubaifu. Wanashabikia mipira tu.

"Chelsea ngapi huko? leo tunawauawa arsenal" 😹😹😹😁😁😁😁😁

Nati za kiroho na za kijasusi zikifungwa kisawasawa, matokeo yake ni kuzalisha mazezeta matupu katika nchi.

Cc: NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo
 
Back
Top Bottom