Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Mtu aliyelogwa, sio tu mpaka awe muokota makopo, maana Kwa siku za Leo, wengi tu ambao wanaokota makopo na kwenda kutengeneza pesa!
Ukisikia mtu kalogwa, si lazima aehuke ndio iwe kielelezo chake, no!!
Kuna majamaa yanaelimu zao na familia zao huko, yamelogwa na jitu linaitwa CCM! Hayana tofauti na vichaa na wendawazimu
Yamenyweshwa maji ya bendera ya kijani, yaani menyewe ikitajwa CCM, ni kana kwamba limetajwa jina la baba yao mzazi,
Unajiuliza, Kwa maisha haya magumu, tozo kila pahala, kuna watu mamilipni Kwa mamilipni, bajeti yao haiwaruhusu waipange hadi ya kesho yao,
Wakiamka na maisha yanaanzia hapo!
Hawajui huko kwenye kutafuta kwao kwa siku hiyo, ikiwa watarudi na chochote cha kulisha familia zao,
Cha ajabu, unawakuta wana kadi za CCM! Hii ni huzuni na ujinga mkomavu vichwani mwao
Mtaichukia lini hii CCM inayokula nguvu zenu na kuwafanya masikini siku zote?
Embu, tokeni kwenye ujinga huo, mjaribu na kwingine!
Tupa kadi ya CCM tangu Leo!