Mbali na maisha haya magumu, tozo kila pahala, mwananchi, Bado hujachoka tu kuwa na kadi ya CCM?

Mbali na maisha haya magumu, tozo kila pahala, mwananchi, Bado hujachoka tu kuwa na kadi ya CCM?

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ni sehemu ya mapato ya serikali. Miaka ya nyuma ile ya kutegemea misaada imeshapita.

Kanisa Katoliki tulianza taratibu huu mpango wa kujitegemea tunakuwa na mavuno mara moja kwa mwaka, pesa iliyotoka Italia haiji tena.

Mpango umehamia serikalini, ni lazima tujitegemee na anasa tulizozoea zipungue.
Hizo anasa anayepunguza ni nani?, je ni serikali au mlipa kodi na tozo mwenyewe ndo anauetakiwa kupunguza anasa?
 
Back
Top Bottom