Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,156
Wanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.
Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania wanyonge. Ukifutilia kwa ukaribu sana utagundua hili
Huyu si mwingine ni jemedari ,mwamba, mzalendo namba mbili. J PM. Hata ile issue ya kupigwa risasi Tundu Lissu, na inawezekana hakujua chochote, ila HAWA wanamtandao CCM. walifanya I'li kubananga na kutigingamya serikali yake, kwa sababu alifunga mirija yote ya uwizi, juu ya HAWA wanamtandao.
Mungu akulaze pema peponi Joseph John Magufuli, hakika watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka mile.
Kaa tayali freedom is around the corner. Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.