MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hizo ni story za kusadikikaLisu inawezekana alitumika moja kwa moja kwa kujua au kutokujua na ccm mtandao I'li kukwamisha jpm,

Wanamtandao nchi wananguvu kubwa sana, kila sehemu nyeti wamewekwa, kuondoa kamera ni jambo dogo sana,. Umewai jiuliza kwann samia alienda kumwona Lisu?..kwa hiyo Jpm akaondoa walinzi area D na kutuma watu wampige risasi ili wamuue? Na akamnyima matibabu, akamfuta ubunge, na kumnyima mafao?
Aliyezuia uchunguzi usifanyike ni nani, aliyetoa kamera na kuzuia matibabu ya Mh. Lissu ni nani? Au ni wanamtandao! Jiwe Sadist sanaWanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.
Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania wanyonge. Ukifutilia kwa ukaribu sana utagundua hili
Huyu si mwingine ni jemedari ,mwamba, mzalendo namba mbili. J PM. Hata ile issue ya kupigwa risasi Tundu Lissu, na inawezekana hakujua chochote, ila HAWA wanamtandao CCM. walifanya I'li kubananga na kutigingamya serikali yake, kwa sababu alifunga mirija yote ya uwizi, juu ya HAWA wanamtandao.
Mungu akulaze pema peponi Joseph John Magufuli, hakika watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka mile.
Kaa tayali freedom is around the corner. Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Acha uongo ndugu haukusaidii kituWanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.
Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania wanyonge. Ukifutilia kwa ukaribu sana utagundua hili
Huyu si mwingine ni jemedari ,mwamba, mzalendo namba mbili. J PM. Hata ile issue ya kupigwa risasi Tundu Lissu, na inawezekana hakujua chochote, ila HAWA wanamtandao CCM. walifanya I'li kubananga na kutigingamya serikali yake, kwa sababu alifunga mirija yote ya uwizi, juu ya HAWA wanamtandao.
Mungu akulaze pema peponi Joseph John Magufuli, hakika watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka mile.
Kaa tayali freedom is around the corner. Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Acha uongo mbona Hayati Alihasan Mwinyie naye alienda?Wanamtandao nchi wananguvu kubwa sana, kila sehemu nyeti wamewekwa, kuondoa kamera ni jambo dogo sana,. Umewai jiuliza kwann samia alienda kumwona Lisu?
Patriot Really?The man was really patriotics, hawezi kuelewa kwa sasa
Jicho la tatu la nini wakati hata jicho moja tu linatosha kujua ujinga wake. Ni sawa na kuniambia nitumie bunduki kuua mende.Tumia jicho la tatu mkuu, utaelewa naamanisha nn?
Basi alijua ishu ya Ben saa naneWanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.
Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania wanyonge. Ukifutilia kwa ukaribu sana utagundua hili
Huyu si mwingine ni jemedari ,mwamba, mzalendo namba mbili. J PM. Hata ile issue ya kupigwa risasi Tundu Lissu, na inawezekana hakujua chochote, ila HAWA wanamtandao CCM. walifanya I'li kubananga na kutigingamya serikali yake, kwa sababu alifunga mirija yote ya uwizi, juu ya HAWA wanamtandao.
Mungu akulaze pema peponi Joseph John Magufuli, hakika watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka mile.
Kaa tayali freedom is around the corner. Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Kenyatta alikuwa anaapishwa awamu ya pili kwa hiyo ilibidi magufuli aende na wakati huo tundu lisu alikuwa amelazwa kwa maana hiyo magufuli angeenda ingemlazimu akamuone na lisu ili kukwepa fedheha ikabidi amtume samiaWanamtandao nchi wananguvu kubwa sana, kila sehemu nyeti wamewekwa, kuondoa kamera ni jambo dogo sana,. Umewai jiuliza kwann samia alienda kumwona Lisu?
Haoni mambo aliyofanya Magufuli, nchi nzima,Jicho la tatu la nini wakati hata jicho moja tu linatosha kujua ujinga wake. Ni sawa na kuniambia nitumie bunduki kuua mende.
Jiulize alivyokuwa anawaita wanyonge aliwasaidia nini zaidi ya kuwapa faraja ya kijinga kuwa umasikini ni mzuri na ndiyo uzalendo huku yeye anapiga pesa
Kweli kabisa.Wanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.