Mbali na mapungufu yake, huyu alikuwa mzalendo kweli kweli !

Wanamtandao nchi wananguvu kubwa sana, kila sehemu nyeti wamewekwa, kuondoa kamera ni jambo dogo sana,. Umewai jiuliza kwann samia alienda kumwona Lisu?

..kwa hiyo mtandao walikuwa na nguvu katika masuala ya ulinzi wa maeneo ya viongozi, ikiwemo area D, kuliko Raisi na Amiri Jeshi aliyekuweko madarakani?

..kama Magufuli hakuhusika na shambulio la Lissu basi ilikuwa rahisi sana kuwanasa waliohusika kwa kuanzia na mtu aliyetoa amri walinzi waondolewe kabla ya shambulizi.
 
Kama waliweza kutumia rais wameshindwa vp kuondoa kamera
 
..nani alimzuia Magufuli kuwakamata?

..kama ni mtandao wamehusika na hawakukamatwa basi Magufuli alikuwa mzembe kwelikweli.

..Lakini hilo ni jambo gumu hata kulifikiria kwani Magufuli hakuwa mzembe.
 
Back
Top Bottom