Wote ni mashetani. Magufuli akiwa kiranja mkuu ndipo utekaji, mauaji, unyanyasaji na unakaji wa demokrasia viliasisiwa. Hawa wengine ni wezi wakubwa wa mali za umma na wameendeleza mabaya mengi ya magufuli.Wanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.
Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania wanyonge. Ukifutilia kwa ukaribu sana utagundua hili
Huyu si mwingine ni jemedari ,mwamba, mzalendo namba mbili. J PM. Hata ile issue ya kupigwa risasi Tundu Lissu, na inawezekana hakujua chochote, ila HAWA wanamtandao CCM. walifanya I'li kubananga na kutigingamya serikali yake, kwa sababu alifunga mirija yote ya uwizi, juu ya HAWA wanamtandao.
Mungu akulaze pema peponi Joseph John Magufuli, hakika watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka mile.
Kaa tayali freedom is around the corner. Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Angalau magu alikuwa anawajali wanyonge, sasa HAWA wanaiba na kuua wanyongeWote ni mashetani. Magufuli akiwa kiranja mkuu ndipo utekaji, mauaji, unyanyasaji na unakaji wa demokrasia viliasisiwa. Hawa wengine ni wezi wakubwa wa mali za umma na wameendeleza mabaya mengi ya magufuli.
Kama hakuhusika na tukio la Lissu kwanini alikataa kulipia matibabu yake? Kwaninj alipiga marufuku watu kumuombea hata wabunge wa CCM waliogopa kwenda kumsalimia hospitalini? Kwanini alimtumia Ndugai kumfuta ubunge na kuzuia maslahi yake?Wanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.
Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania wanyonge. Ukifutilia kwa ukaribu sana utagundua hili
Huyu si mwingine ni jemedari ,mwamba, mzalendo namba mbili. J PM. Hata ile issue ya kupigwa risasi Tundu Lissu, na inawezekana hakujua chochote, ila HAWA wanamtandao CCM. walifanya I'li kubananga na kutigingamya serikali yake, kwa sababu alifunga mirija yote ya uwizi, juu ya HAWA wanamtandao.
Mungu akulaze pema peponi Joseph John Magufuli, hakika watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka mile.
Kaa tayali freedom is around the corner. Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Tar 29 oktoba tukalipe kisasi Kwa kuwaondoa wanamtandaoWanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,.
Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania wanyonge. Ukifutilia kwa ukaribu sana utagundua hili
Huyu si mwingine ni jemedari ,mwamba, mzalendo namba mbili. J PM. Hata ile issue ya kupigwa risasi Tundu Lissu, na inawezekana hakujua chochote, ila HAWA wanamtandao CCM. walifanya I'li kubananga na kutigingamya serikali yake, kwa sababu alifunga mirija yote ya uwizi, juu ya HAWA wanamtandao.
Mungu akulaze pema peponi Joseph John Magufuli, hakika watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka mile.
Kaa tayali freedom is around the corner. Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
Lisu inawezekana alitumika moja kwa moja kwa kujua au kutokujua na ccm mtandao I'li kukwamisha jpm,Kama hakuhusika na tukio la Lissu kwanini alikataa kulipia matibabu yake? Kwaninj alipiga marufuku watu kumuombea hata wabunge wa CCM waliogopa kwenda kumsalimia hospitalini? Kwanini alimtumia Ndugai kumfuta ubunge na kuzuia maslahi yake?
Lisu inawezekana alitumika moja kwa moja kwa kujua au kutokujua na ccm mtandao I'li kukwamisha jpm,
Kuwajali kwa maneno pasipo vitendo,angekuwa aawajali angeqcha wanyonge wawachague viongozi wanaowatakaAngalau magu alikuwa anawajali wanyonge, sasa HAWA wanaiba na kuua wanyonge
Ulikua bado unanyonya titi la mama. ako kipindi Olimboka anatekwa Mwagosi au ulikua bado uko kiunoni mwa wazazi?Wote ni mashetani. Magufuli akiwa kiranja mkuu ndipo utekaji, mauaji, unyanyasaji na unakaji wa demokrasia viliasisiwa. Hawa wengine ni wezi wakubwa wa mali za umma na wameendeleza mabaya mengi ya magufuli.
Lissu akujua kwamba anatumikaLisu inawezekana alitumika moja kwa moja kwa kujua au kutokujua na ccm mtandao I'li kukwamisha jpm,
Lissu akujua kwamba anatumiLisu inawezekana alitumika moja kwa moja kwa kujua au kutokujua na ccm mtandao I'li kukwamisha jpm,
Kwanini ulimpie matibabu mtu ambae alikua anakubanaga kwa maneno ya kashfa adui wa adui yako ni rafiki yakoKama hakuhusika na tukio la Lissu kwanini alikataa kulipia matibabu yake? Kwaninj alipiga marufuku watu kumuombea hata wabunge wa CCM waliogopa kwenda kumsalimia hospitalini? Kwanini alimtumia Ndugai kumfuta ubunge na kuzuia maslahi yake?
Haki ya matibabu sio hisani.Lissu akujua kwamba anatumi
Kwanini ulimpie matibabu mtu ambae alikua anakubanaga kwa maneno ya kashfa adui wa adui yako ni rafiki yako