Mbali na mapungufu yake, huyu alikuwa mzalendo kweli kweli !

..kwa hiyo Jpm akaondoa walinzi area D na kutuma watu wampige risasi ili wamuue? Na akamnyima matibabu, akamfuta ubunge, na kumnyima mafao?
Wanamtandao nchi wananguvu kubwa sana, kila sehemu nyeti wamewekwa, kuondoa kamera ni jambo dogo sana,. Umewai jiuliza kwann samia alienda kumwona Lisu?
 
Aliyezuia uchunguzi usifanyike ni nani, aliyetoa kamera na kuzuia matibabu ya Mh. Lissu ni nani? Au ni wanamtandao! Jiwe Sadist sana
 
Acha uongo ndugu haukusaidii kitu
 
A
Wanamtandao nchi wananguvu kubwa sana, kila sehemu nyeti wamewekwa, kuondoa kamera ni jambo dogo sana,. Umewai jiuliza kwann samia alienda kumwona Lisu?
Acha uongo mbona Hayati Alihasan Mwinyie naye alienda?
 
Aliyezuia uchunguzi usifanyike ni nani, aliyetoa kamera na kuzuia matibabu ya Mh. Lissu ni nani? Au ni wanamtandao! Jiwe Sadist sana
Tumia jicho la tatu mkuu, utaelewa naamanisha nn?
 
Tumia jicho la tatu mkuu, utaelewa naamanisha nn?
Jicho la tatu la nini wakati hata jicho moja tu linatosha kujua ujinga wake. Ni sawa na kuniambia nitumie bunduki kuua mende.
Jiulize alivyokuwa anawaita wanyonge aliwasaidia nini zaidi ya kuwapa faraja ya kijinga kuwa umasikini ni mzuri na ndiyo uzalendo huku yeye anapiga pesa
 
Basi alijua ishu ya Ben saa nane
 
Wanamtandao nchi wananguvu kubwa sana, kila sehemu nyeti wamewekwa, kuondoa kamera ni jambo dogo sana,. Umewai jiuliza kwann samia alienda kumwona Lisu?
Kenyatta alikuwa anaapishwa awamu ya pili kwa hiyo ilibidi magufuli aende na wakati huo tundu lisu alikuwa amelazwa kwa maana hiyo magufuli angeenda ingemlazimu akamuone na lisu ili kukwepa fedheha ikabidi amtume samia

Nchi hii makamu wa Rais huna mamlaka yeyote ya kujichagulia safari bila kupewa idhini na Rais kwa hiyo acha upotoshaji
 
Ha Haoni mambo aliyofanya Magufuli, nchi nzima,
 
Sasa hivi ni mwendo wa kupigwa mashine tu
 
Kweli kabisa.
 
JPM alikuwa rais sahihi kwa wakati usio sahihi mana watanzania bado walikuwa wapumbavu na bado ni wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…