Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser, nk.
Hatimae mudau umethibitisha na utaendelea kuthibitisha zaidi pale wataposhika nafasi ya tatu kwenye ligi.
Msiseme sikuwaambia.
Hatimae mudau umethibitisha na utaendelea kuthibitisha zaidi pale wataposhika nafasi ya tatu kwenye ligi.
Msiseme sikuwaambia.