Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser, nk.
Hatimae mudau umethibitisha na utaendelea kuthibitisha zaidi pale wataposhika nafasi ya tatu kwenye ligi.
Msiseme sikuwaambia.
Yanga iliposhinda waliambiwa inacheza na timu mbovu,walipo cheza nao wakala 5G wakasema majini hahahaMashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser, nk.
Hatimae mudau umethibitisha na utaendelea kuthibitisha zaidi pale wataposhika nafasi ya tatu kwenye ligi.
Msiseme sikuwaambia.
We toa povu ila mwisho wa siku utarudi humu kulialia kama mnacyolia leo.Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.
SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.
SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
Jibu hoja, acha viroja, Simba imevuna pesa mara 3 na vikombe 2 nyie mnaoimbishwa jiesieeeeem ka vitoto vya Nursery mna kipi hadi sasa.We toa povu ila mwisho wa siku utarudi humu kulialia kama mnacyolia leo.
Sasa mnafukuza makocha wa nini?Jibu hoja, acha viroja, Simba imevuna pesa mara 3 na vikombe 2 nyie mnaoimbishwa jiesieeeeem ka vitoto vya Nursery mna kipi hadi sasa.
Mwenzenu Hersi yuko pale anatafuta Jimbo la Uchaguzi nyie ni kuimba tuuu utazan kwelea kwelea wa mashamba ya Ihefu
Kweli wenye akili ni Wawili tu huko Utopolo wewe ndiyeee kopoooo tena la NIDO!Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.
Bingwa wa muungano alikuwa anapitaka zamani enzi.za FAT kulikuwa na ligi ya muungano, home and away na kushiriki ni lazima upate nafasi za juu kwenye ligi ya bara na visiwani, siyo hii kuteuwa viti maalum mechi mbili unachukuwa kombe.
Ligi ni hii ya NBC, mafuta na maji ndio vinajitenga.
Kweli wenye akili ni Wawili tu huko Utopolo wewe ndiyeee kopoooo tena la NIDO!
Wewe unatakiwa kuitwa Toilet Paper hiyo Salary Slip uliyojiita unaifedhehesha. Ipo tofauti kubwa sana kati ya kuomba kuvunja mkataba na kufukuzwa. Ndio maana mnaambiwa wenye akili ni JK na Baba Manara nyinyi wengine ni Maaamuma wa kutupwa ukiwemo wewe.Sasa mnafukuza makocha wa nini?
Pacome ni mchezaji bora wa ligi ya ivory coast msimu wa 2022/2023 na sio kramoWewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.
SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
Bado hamjasema.Wewe unatakiwa kuitwa Toilet Paper hiyo Salary Slip uliyojiita unaifedhehesha. Ipo tofauti kubwa sana kati ya kuomba kuvunja mkataba na kufukuzwa. Ndio maana mnaambiwa wenye akili ni JK na Baba Manara nyinyi wengine ni Maaamuma wa kutupwa ukiwemo wewe.
Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.
Bingwa wa muungano alikuwa anapitaka zamani enzi.za FAT kulikuwa na ligi ya muungano, home and away na kushiriki ni lazima upate nafasi za juu kwenye ligi ya bara na visiwani, siyo hii kuteuwa viti maalum mechi mbili unachukuwa kombe.
Ligi ni hii ya NBC, mafuta na maji ndio vinajitenga.
Hakuna ubingwa wa ngao ya jamii wewe tutusa, ni mshindi wa ngao ya jamii.
Bingwa wa muungano alikuwa anapitaka zamani enzi.za FAT kulikuwa na ligi ya muungano, home and away na kushiriki ni lazima upate nafasi za juu kwenye ligi ya bara na visiwani, siyo hii kuteuwa viti maalum mechi mbili unachukuwa kombe.
Ligi ni hii ya NBC, mafuta na maji ndio vinajitenga.
Duuuu wewe naye ni GT wa JF mwanaYanga au siyo? Poa,Pacome ni mchezaji bora wa ligi ya ivory coast msimu wa 2022/2023 na sio kramo
Salary slip njoo uone hii takataka!Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.
SIMBA BINGWA WA NGAO YA JAMII.
SIMBA BINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO.
SIMBA FINALIST WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Hivi nyie WanaYanga ukitoa pointi 3 za Kagera Sugar na Utoe 3 za juzi mlizopata kwa Coast baada ya ile Red Card ya Mchongo kwenye Ligi unamzidi nini SIMBA!
Je, Hiyo Yanga Imara imeshinda nini hadi sasa??
Acheni kujiaminisha ujinga, WanaSimba wamewaacha muongee kaVichaa maaana wengi wenu hamnazo!
Kwasasa Yanga haina kitu ila bado inapigania malengo yao ya msimu huu.Wewe Kilaza acha kelele za Unyani Unyani.