Mbalizi Mbeya: Mfanyakazi wa ndani amepotea njia akiwa na mtoto mdogo, msaada wenu

Jamani kadogo duh sijui mama mtoto ana hali gani
 
Kwa Nini wanamtumikisha mtoto mdogo, Ambaye ilitakiwa awe shule, wahusika inabidi wamchukulie hatua muhusika.
 
Jamaniiii…. katoto kadogoo

Sijui mamake kama alilala usiku wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…