Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Pengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.

Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!

Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.

Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.
Neema nae alimfanyiaga cavany malipo ulimwenguni PSG NI KIJIWE.
 
Anapaswa ajue MESSI ana jeshi kubwa nyuma yake.

Hana ubavu wa kupambana nae

Watamsagia kunguni aishie kula Hela za Psg tu ila asipate mafaniki yoyote ya soka

Aache hizo tabia za kujiona special
Kumbe mkuu mafanikio mnapeanaga
 
Mbappe simkubaligi tangu world cup alifanya uninga flan wa kupoteza muda nikamuona choko kumbe.

Sawahili sana mbappe
 
Back
Top Bottom