Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Usilete ujuaji mkuu leta data hapa za ibrahimovic na personal awards zake au unafikiri hatujui kuwa hata Uefa hajawahi beba na umri wote huo alionao
Akiwa ndio kwanza ana miaka 23 Mbapoe tayari ana goli 33 za uefa huku huyo Ibrahimovic kucheza kwake miaka yote ana goli 41 tu.
Nyinyi mpira takwimu kuna siku ntasema bruno fernandes ni mkali kuliko Iniesta
haya lete takwimu tuamue kati ya Bruno na iniesta na mkali

Kuhusu Zlatani amecheza timu zote kubwa sio kwa bahati mbaya
mbappe hajacheza timu yoyote kubwa
 
Pele kuna mechi alikuwa anacheza na mtu mguu mfupi
wengine hawana mikono
messi angekuwa na magoli 5000 enzi hizo
mbona Diego Armando Maradona anatajwa ni moja ya wachezaji bora wa muda wote ila ana magoli machache na takwimu zake za kawaida hata mbappe zipo juu ?

Kwasababu watu wamemuona vizuri kuliko pele

sisi tuna tabia ya kupenda vya zamani na kuona ndio bora

Messi ni hatari

Kabisa Messi ni bora kuzidi mchezaji yoyote, may be maradona pekee. Lakini kwa mafanikio zaidi messi is very dangerous aise.

For Me, Messi and Diego are no 1 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Kabisa Messi ni bora kuzidi mchezaji yoyote, may be maradona pekee. Lakini kwa mafanikio zaidi messi is very dangerous aise.

For Me, Messi and Diego are no 1 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kwa dunia hii labda ianze upya
kwanza mashindano anayoshiriki messi kipa hawezi kuwa mchezaji bora wa mashindano
 
Kabisa Messi ni bora kuzidi mchezaji yoyote, may be maradona pekee. Lakini kwa mafanikio zaidi messi is very dangerous aise.

For Me, Messi and Diego are no 1 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kwangu mimi uniwekee De Lima na Gaucho kwenye ubora na Messi kwenye ubora wake Messi ansugua benchi hata mwaka mzima bila kuwepo hata sub 😂😂😂😆
 
Sasa Lewandowsk unamuona ni striker wa aina gani mkuu?
Halaand sivyupo hapo Man city na Jesus ametoka hapo tuone atamaliza msimu na goli ngapi mwenzie aubamayang alitoka Bundesliga bila kiatu ila Epl amebeba sasa tumuone huyo Haaland
Hujui mpira na haufuatilii
hutakiwi kuongelea mpira
wewe ni laana kwenye soka
 
Kwangu mimi uniwekee De Lima na Gaucho kwenye ubora na Messi kwenye ubora wake Messi ansugua benchi hata mwaka mzima hata bila kuwepo hata sub 😂😂😂😆
Hahahahaaha hahaha
Nyie hivi unajua Gaucho kwa mbwembwe hamuwezi okocha ?
Mtu kwenye mpira wa ushindani kacheza miaka mitatu sijui minne baada ya hapo bye bye baba jeni
 
Messi ni playmaker, finisher, assist machine, kiongozi uwanjani.

Qualities ambazo huwezi zipata zote kwa mbappe

Messi alinyimwa kimo which make so special bro utilize his other gift.

Kama ilivyo kwenye basket Steph curry Yuko kama Messi.

Kanyimwa height ya NBA players but he is fvcking scary on the court. Guarded by two or more players.

Mkimwacha tu ni kitu na box.

Na yeye hajali, yeye anajali kutupia hesabu mtafanya wenye na anajua kuwachezesha wenzake.

Hii ni kama Messi.

Mbappe ni mainstream media player Hana chochote special na ataflop soon

Tatizo wengine wameshakaririshwa na baadhi ya wasiojua nini maana ya mpira! Eti old is gold, na ukiwabana wanakuja na kigezo cha world cup, wakati ile ni team work. Wachezaji wakiamua kuvimba na kutojituma uwanjani hata uwe star wa namna gani huchomoi.

Anakuja mtu eti messi hafiki kwa Cr7, mara messi hafiki kwa gaucho 🤣🤣🤣 ukibisha unaambiwa wana world cup,

Kwa performance hakuna anaemfikia messi, playmaker, assist, kuuchezea mpira, tuzo za ballon d'Or n.k n.k n.k

Yani nikiambiwa nichague wachezaji wawili bora kuwahi kutokea nitachagua MESSI NA DIEGO MARADONA
 
This boy
FB_IMG_1660846454217.jpg
 
Kwangu mimi uniwekee De Lima na Gaucho kwenye ubora na Messi kwenye ubora wake Messi ansugua benchi hata mwaka mzima hata bila kuwepo hata sub 😂😂😂😆

Hahhaaa sawa sheikh wangu, mimi nitaenda na Diego Armando Maradona, and Leo Messi hahhaa, hebu ingia kidogo YouTube uone Maradona alivyonyanyasa mabeki, alikua akiuchezea mpira mpaka basi, kuna moja ivi aliutuliza kwa makalio 🤣🤣
 
wivu unamsumbua
Natamani messi na neymar waondoke kwenye hii timu abaki yeye kama yeye ili dhihaka isiendelee kwa messi. Hawa wote ni mafahari lkn kuna mmoja hataki kujishusha.
 
Natamani messi na neymar waondoke kwenye hii timu abaki yeye kama yeye ili dhihaka isiendelee kwa messi. Hawa wote ni mafahari lkn kuna mmoja hataki kujishusha.

Bora Messi angetimkia city, kwa mchezaji bora kuwahi kutokea kwendelea kubaki pale ni aibu, ukizingatia anaochezanao vipofu wameona mwezi, wanapaswa kuwa na adabu mbele ya messi.
 
Bora Messi angetimkia city, kwa mchezaji bora kuwahi kutokea kwendelea kubaki pale ni aibu, ukizingatia anaochezanao vipofu wameona mwezi, wanapaswa kuwa na adabu mbele ya messi.
Yani ni kweli mkuu kuna mdau huko juu katoa point nzuri sana yani ronaldo na messi ni bola wakastaaf misimu hii ijayo wastaaf kiheshima wanapoelekea ni dhihaka watakuja kustaaf kwa aibu
 
Back
Top Bottom