Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Yani ni kweli mkuu kuna mdau huko juu katoa point nzuri sana yani ronaldo na messi ni bola wakastaaf misimu hii ijayo wastaaf kiheshima wanapoelekea ni dhihaka watakuja kustaaf kwa aibu
Yah, but! Messi bado ana kiwango bora kumzidi ronaldo, na hata mchezaji yeyote wa sasa. sema tu ile timu imejaa ubinafsi/utoto. Kila mtu hujiona star pale, na wengine kumbania passes n.k. Lau kama angelikua city wangefaidi sana uwepo wake, yeye ndie playmaker, mtoaji assists, penalt anatoa kwa wenzie bila kinyongo, in short jamaa angelikua anawalisha tu magoli wenzie.