Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Sasa Lewandowsk unamuona ni striker wa aina gani mkuu?Sasa top Scorer hizo chance walikuwa wana create wakina nani? Mnangalia Output tu bila kuangalia build up ya mashambulizi zimeanzia wapi.
Ile PSG niki mchukua Jesus,Hallaand,Lewandoski nk watafunga magoli kuliko huyo Mbape.
Halaand sivyupo hapo Man city na Jesus ametoka hapo tuone atamaliza msimu na goli ngapi mwenzie aubamayang alitoka Bundesliga bila kiatu ila Epl amebeba sasa tumuone huyo Haaland