Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
Axha basi ujinga,kwa hiyo takwimu zile za uwanjani nazo ni siasa au sio??
 
Ukimtoa Pelle hakuna mchezaj bora zaid ya Messi,fuatlia mpila sio unaishia kuanglia viclip uchwara huko youtube,narudia tena ukimtoa Pelle anafuat Messi alaf ndo Maradona,hao ndo wachezaj bora wa muda wte duniani
Acha mambo yako wewe
ushawahi kumuona pele anacheza au unasikia stori za wahenga ?

Tangu dunia iumbwe hakuna kama Messi
 
Acha mambo yako wewe
ushawahi kumuona pele anacheza au unasikia stori za wahenga ?

Tangu dunia iumbwe hakuna kama Messi
Ukipata time nenda FIFA TV kaangalie documentary ya Pelle utafuta kauli yako yule mzee ni nuksi mimi nlikua mbishi kama wewe baada ya kutazama hio clip nmekubali Pelle ni next level
 
Kwahy kipind cha Messi na Ronaldo akina nan walikua bora kuzid wao ambao walipaswa kuchuku hzo tuzo?.
Na ukumbuke hzo tuzo zinapatikan kwa njia ya kura.

Kafuatlie Taarab naon mpila sio type yako
Inaonekana wew ni mtu wa pwani
 
Kwahy kipind cha Messi na Ronaldo akina nan walikua bora kuzid wao ambao walipaswa kuchuku hzo tuzo?.
Na ukumbuke hzo tuzo zinapatikan kwa njia ya kura.

Kafuatlie Taarab naon mpila sio type yako
Kasikilize speech ya Messi wakati anachukua Ballon dor ya 7 pale France utajua nini naongea

Mwanaume hatakiwi kuwa n mipasho
 
Ukimtoa Pelle hakuna mchezaj bora zaid ya Messi,fuatlia mpila sio unaishia kuanglia viclip uchwara huko youtube,narudia tena ukimtoa Pelle anafuat Messi alaf ndo Maradona,hao ndo wachezaj bora wa muda wte duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ipo
 
Huyo messi mnayesema mpka sasahv wa moto kaulizeni nani top scorer n mwenye assist nying ligi ya ufaransa msimu ulioisha[emoji23][emoji23]

Wakati wake umeshaisha tayr
 
wapenzi wa messi na neymar wanapata shida sana, PSG kwa sasa ni muda wa mbappe. Neymar alifanya dharau kubwa zaidi kwa cavani kuliko anazokutananazo yeye, aache kiherehere atulie tu.
 
Huyo messi mnayesema mpka sasahv wa moto kaulizeni nani top scorer n mwenye assist nying ligi ya ufaransa msimu ulioisha[emoji23][emoji23]

Wakati wake umeshaisha tayr
We nae hauna point ya maana nyamaza thread nzima ume komaa na verse moja kama muimba taarabu.
 
Back
Top Bottom