Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Hacha fact za kitoto

Unajua kati ya ligi ya ufaransa na ujerumani hipi ni ligi Bora!?
Fact za kitoto zipi? Wewe weka takwimu za uwezo wa mchezaji moja mmoja wa PSG na ufananishe na Dortmund. Si unataka fact ,haya twende kwa fact kama hujakimbia.

Timu imesheheni vipaji kibao ile timu hata ukimchukua Giroud hakosi goli 30 kwa msimu.Haya soma hiyo link ,itaona ligi Bora kwa miaka kumi iliyopita Ligue 1 ya 5,Budasliga ya nne .

Nakusubiria manake unataka fact,ila nina uhakika hata maana ya neno fact hulijui.
 
Haaland hawezi kumzidi wala kumkaribia uwezo Mbappe maisha
Ni kweli dogo hamumpend ila dogo anajua kwa umri wa dogo na vitu anafanya ni vikubwa

Ameshafunga kwenye mechi kubwa tu za uefa akiweka hat trick Camp Nou dhidi ya Barcelona
Akifunga bao dhidi ya Madrid Santiago Bernabeu huku akiwapiga pia pale Parc des princes utakuwa wa ajabu sana talent kama hii kuifananisha na Haaland mchezaji wa timu ndogo tu

Hivi unajua Messi na CR7 walikuwa na magoli mangapia ya free kick umri was Mbappe??.. hivi unajua Mbappe hana hata goli moja la free kick?
 
Messi PSG yupo kwenye utawala wa Mbappe

Kama yeye alivyokuwa na utawala wake Barcelona ukampelekea Neymar kuondoka
 
naona haters ni wale mashabiki wa Barca ambao mbappe aliwakaanga hatrick mbele ya messi wao hapo camp nou huku Neymar akiwa bench
 
Fact za kitoto zipi? Wewe weka takwimu za uwezo wa mchezaji moja mmoja wa PSG na ufananishe na Dortmund. Si unataka fact ,haya twende kwa fact kama hujakimbia.

Timu imesheheni vipaji kibao ile timu hata ukimchukua Giroud hakosi goli 30 kwa msimu.Haya soma hiyo link ,itaona ligi Bora kwa miaka kumi iliyopita Ligue 1 ya 5,Budasliga ya nne .

Nakusubiria manake unataka fact,ila nina uhakika hata maana ya neno fact hulijui.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi hipo unaleta article ya mwaka 2020
 
Hivi unajua Messi na CR7 walikuwa na magoli mangapia ya free kick umri was Mbappe??.. hivi unajua Mbappe hana hata goli moja la free kick?
Hawezi fikia stats zao kwasababu na mpira unabadilika ila uwezi underestimate uwezo wa Mbappe kwasababu misimu minne yote yeye ndio top scorer ligue 1
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaangalie stats au uliza ligi ipi Bora utapata jibu!! Haturopoki tunaenda n data
hizo takwimu si uzilete we unayebisha mbona unaagiza,leta takwimu wewe na mimi nitaleta zangu.

Bayern Munich huwezi kufananisha na PSG kwa lolote.

Dotmund huwezi kufananisha na Lyon au Monaco .
 
Hawezi fikia stats zao kwasababu na mpira unabadilika ila uwezi underestimate uwezo wa Mbappe kwasababu misimu minne yote yeye ndio top scorer ligue 1
Hakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
 
Hakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
Mbape na Messi ni Mbingu na ardhi,hata tufute mafanikio yao yote ndani ya miaka 3 kuanzia huu msimu Mbape atazidiwa kila kitu mbali na umri wa Messi
 
Hakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
Sijakataa vilevile hauwezi kumfanisha Messi wa sasahv na Mbappe kwasababu Messi nyakati zake zimeshapita
 
Alafu ukipata muda pitia uangalie video ya hicho kitendo wanachosema Mbappe amempush Messi, watu wanakuza tu ila ilikuw ni accidentally na sio kama wanavyokuza!! Wazungu miyeyusho sana
Na huo ndo mwisho wa Mbape kama huwajui wazungu sasa mzee baba
 
Si mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.

Ufaransa na PSG kuna talent kibao, huwezi fananisha na Dortmund aliyo tokea Hallaand na still bado alikuwa anafunga sana.

Hata mimi pale PSG nikisimama namba 9 sikosi goli 25 msimu mzima,wapishi wa magoli wapo kibao, ukirudi Ufaransa mafundi kibao.
Ila wabongo hua mnaona vitu ni rahisi sana eti!
 
Mkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
Yeah ni bora kulko wote hao
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi hipo unaleta article ya mwaka 2020
Sasa mbona hizo fact zako sizioni, toa zako ili tucompare na zangu. Sawa Ariticle ya mwaka 2020 ila ime includes miaka 10 iliyo pita sasa niletee yako iliyo include atleast miaka mitano kutokea 2022.

Inawezekana nikawa na biashana na mtu asiyejua nini maana ya fact ila ameamua kubishana.
 
Back
Top Bottom