Pengine hilo lipo sahihi lakini kwa kitendo alichokifanya Mbappe si sahihi.
Mwenzako anaweka mpira kwa maandalizi ya kupiga penalty wewe unakuja kuomba kupiga. Afadhali angelikuwa hata bado hajaanza kufanya hivyo!
Neymar kasimamia maamuzi yake ya kupiga unageuza kwa kufura hali ya kuwa penalty ya kwanza ulishapiga.
Kamgonga Messi kwa bahati mbaya unashindwa hata kuonyesha ishara ya kilichotokea ni bahati mbaya? Kwa haya Mbappe aliyoyafanya amekosea! Hayo mengineyo siyajui.