Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Lakini hata mimi nimesema Messi ni bora kuliko hao waliotajwaHata hhao unaowataja wanakiri kuwa Messi ni Mchzaji bora. Mtu anayeukataa ubora wa Messi mara nyingi nni Messi mwenyewe.
Fact za kitoto zipi? Wewe weka takwimu za uwezo wa mchezaji moja mmoja wa PSG na ufananishe na Dortmund. Si unataka fact ,haya twende kwa fact kama hujakimbia.Hacha fact za kitoto
Unajua kati ya ligi ya ufaransa na ujerumani hipi ni ligi Bora!?
Haaland hawezi kumzidi wala kumkaribia uwezo Mbappe maisha
Ni kweli dogo hamumpend ila dogo anajua kwa umri wa dogo na vitu anafanya ni vikubwa
Ameshafunga kwenye mechi kubwa tu za uefa akiweka hat trick Camp Nou dhidi ya Barcelona
Akifunga bao dhidi ya Madrid Santiago Bernabeu huku akiwapiga pia pale Parc des princes utakuwa wa ajabu sana talent kama hii kuifananisha na Haaland mchezaji wa timu ndogo tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi hipo unaleta article ya mwaka 2020Fact za kitoto zipi? Wewe weka takwimu za uwezo wa mchezaji moja mmoja wa PSG na ufananishe na Dortmund. Si unataka fact ,haya twende kwa fact kama hujakimbia.
Timu imesheheni vipaji kibao ile timu hata ukimchukua Giroud hakosi goli 30 kwa msimu.Haya soma hiyo link ,itaona ligi Bora kwa miaka kumi iliyopita Ligue 1 ya 5,Budasliga ya nne .
Nakusubiria manake unataka fact,ila nina uhakika hata maana ya neno fact hulijui.
Hawezi fikia stats zao kwasababu na mpira unabadilika ila uwezi underestimate uwezo wa Mbappe kwasababu misimu minne yote yeye ndio top scorer ligue 1Hivi unajua Messi na CR7 walikuwa na magoli mangapia ya free kick umri was Mbappe??.. hivi unajua Mbappe hana hata goli moja la free kick?
hizo takwimu si uzilete we unayebisha mbona unaagiza,leta takwimu wewe na mimi nitaleta zangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaangalie stats au uliza ligi ipi Bora utapata jibu!! Haturopoki tunaenda n data
Hakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wakeHawezi fikia stats zao kwasababu na mpira unabadilika ila uwezi underestimate uwezo wa Mbappe kwasababu misimu minne yote yeye ndio top scorer ligue 1
We mamaaa upooo...Messi astaafu sasa, aache ubishi, atadhalilika zaidi na zaidi.
Mbape na Messi ni Mbingu na ardhi,hata tufute mafanikio yao yote ndani ya miaka 3 kuanzia huu msimu Mbape atazidiwa kila kitu mbali na umri wa MessiHakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
Nipoooooo.We mamaaa upooo...
Sijakataa vilevile hauwezi kumfanisha Messi wa sasahv na Mbappe kwasababu Messi nyakati zake zimeshapitaHakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
Na huo ndo mwisho wa Mbape kama huwajui wazungu sasa mzee babaAlafu ukipata muda pitia uangalie video ya hicho kitendo wanachosema Mbappe amempush Messi, watu wanakuza tu ila ilikuw ni accidentally na sio kama wanavyokuza!! Wazungu miyeyusho sana
Who are you useme hatabeba?Unaweza kuwa sahihi au ukawa sio sahihi
achana nae huyo. Yaani ile fainali na munich alicheza kama hajui goli lipo wapi. Mbappe uefa cl anaweza asiibebe maisha yake ya soka.
Ila wabongo hua mnaona vitu ni rahisi sana eti!Si mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.
Ufaransa na PSG kuna talent kibao, huwezi fananisha na Dortmund aliyo tokea Hallaand na still bado alikuwa anafunga sana.
Hata mimi pale PSG nikisimama namba 9 sikosi goli 25 msimu mzima,wapishi wa magoli wapo kibao, ukirudi Ufaransa mafundi kibao.
Yeah ni bora kulko wote haoMkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
Sasa mbona hizo fact zako sizioni, toa zako ili tucompare na zangu. Sawa Ariticle ya mwaka 2020 ila ime includes miaka 10 iliyo pita sasa niletee yako iliyo include atleast miaka mitano kutokea 2022.[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi hipo unaleta article ya mwaka 2020
Urahisi wa vitu unategemea upo sehemu gani.Ila wabongo hua mnaona vitu ni rahisi sana eti!