Uchaguzi 2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

Uchaguzi 2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.

=====

Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.

Ni upuuzu tu kwani bendera ndio waiga kura cha ajabu mzee naye anazidi kudanganyika mchana kweupee tena akuna na kichwa eti kumbe nakubalika hadi huku ,kumbe hola ...kalaga baho😂😂😂 ila haina namna ccm fanyeni hivyo hivyo ili mzee akajikute yuko peke yake na kura mpige kwa Lisu
 
JPM Ana kazi....anadangànywa Sana na wanafiki waliomzunguka!
Akiona nyomi anadhani anapendwa mno.

23B65A86-7C31-4664-9573-03502934258D.jpeg
 
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.

=====

Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.

View attachment 1585065
Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?

Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.

Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?
 
Tunataka magoti mpaka yaote sugu safari hii
Kwa muda mrefu watanzania tulikua tunasema
We can't breathe
Lakini Sasa jiwe ndo linasema
I can't breathe
 
Kwenye hiyo video,camera man anamchimba mkwara huyo mama kisa tuu anaongelea negatives kwa chadema. Maana kaanza na ccm wanaona kichefuchefu wakiona hiyo bendera na mwisho kaja kuua na kusema tumewachoka Chadema.

Ni wananchi ndo wanang'oa hizo bendera. Pia sio ustaarabu kuweka bendera tena juuu kwenye nguzo ya umeme.tena kwenye maendeleo ya vitu ambavyo Chadema hampendi.
 
Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?

Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.

Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?
Waliziweka na kuzishusha chini ya ulinzi wa polisi ?
 
Kwenye hiyo video,camera man anamchimba mkwara huyo mama kisa tuu anaongelea negatives kwa chadema, maana kaanza na ccm wanaona kichefuchefu wakiona hiyo bendera na mwisho kaja kuua na kusema tumewachoka chadema. Ni wananchi ndo wanang'oa hizo bendera.pia sio ustaarabu kuweka bendera tena juuu kwenye nguzo ya umeme.tena kwenye maendeleo ya vitu ambavyo chadema hampendi.
CCM ni ile ileeee...!

Flashback...2010
kanga CCM.jpg

Presently...2020
CCMfulana.jpeg
 
Back
Top Bottom