Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Bendera moja ndiyo unapiga kelele hivyo, JPM anachanja mbuga.
Wewe ni kiumbe cha ajabu sana.
Sasa kama mtu anaogopa hadi bendera, je akikutana uso kwa oso na Lissu si atazimia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bendera moja ndiyo unapiga kelele hivyo, JPM anachanja mbuga.
Chadema kwisha habari yenu, Tulia kawatutliza kweli kweli. Wanawake wakiamua wanaweza.Tunduma chadema haipo tena hata wagombea wenu wanakamilisha ratiba tu.Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.
=====
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.
View attachment 1585065
Hiyo ndiyo common sense yako ilivyokutuma.Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?
Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.
Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?
Simue ata mnaona haibu vtu vingne kujbu,sio kla ktu ujibu.....Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?
Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.
Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?
LISSU IN TUNDUMAChadema kwisha habari yenu, Tulia kawatutliza kweli kweli. Wanawake wakiamua wanaweza.Tunduma chadema haipo tena hata wagombea wenu wanakamilisha ratiba tu.
So sad japo kijana kapata ajira..leo nyumbani watoto wataenda chooniHapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.
=====
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.
View attachment 1585065
Kwa hiyo mmenuna?Hiyo ndiyo common sense yako ilivyokutuma.
Ninune nakujua.Kwa hiyo mmenuna?
Kwavhiyo kwenye viwanja vikubwa huwa anazuiwa, mboa anapenda sehemu ndogo ndo anazijaza kisha anashangilia kama kokoto, aende kwenye viwanja vikubwa tuone hizo kokoto.
Sawa, ushauri hizo picha za hao wanaoshusha bendera mzitume kwa Amsterdam atoe tamko.Ninune nakujua.
Amsterdam hana haja na hizo picha yeye ana documents za NEC muhimu zaidi ya hiyo picha.Sawa, ushauri hizo picha za hao wanaoshusha bendera mzitume kwa Amsterdam atoe tamko.
Barabara ya nyerere road mbona jiwe kaweka mabango kibaoKwenye hiyo video,camera man anamchimba mkwara huyo mama kisa tuu anaongelea negatives kwa chadema. Maana kaanza na ccm wanaona kichefuchefu wakiona hiyo bendera na mwisho kaja kuua na kusema tumewachoka Chadema.
Ni wananchi ndo wanang'oa hizo bendera. Pia sio ustaarabu kuweka bendera tena juuu kwenye nguzo ya umeme.tena kwenye maendeleo ya vitu ambavyo Chadema hampendi.
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.
=====
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.
View attachment 1585065
Wanashusha bendera kwenye milingoti,Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.
=====
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.
View attachment 1585065
Mkuu hata wakifikisha hakuna chochote kitakachofanyika.Kwa hili HAPANA!
CHADEMA fikisheni taarifa hii TUME YA UCHAGUZI na MSAJILI kuwashtaki Polisi hawa.
MAADILI YANASEMA NI KOSA KWA MTU YEYOTE KUCHANA BENDERA AU BANGO LA MGOMBEA WA CHAMA CHOCHOTE......!!!
CHADEMA pelekeni MALALAMIKO HAYA FASTA ILI KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA..!
Mkuu hata wakifikisha hakuna chochote kitakachofanyika.
Juzi Lissu kasema wameshapeleka malalamiko yao mengi NEC lkn hayajafanyiwa kazi.Lakini itakuwa imeingia kwenye kumbukumbu na ikiwa kutakuwa na kufikishana kwene Mahakama za ICC hii ikawe kama Ushahidi!