......chini ya usimamizi wa polisi.............Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?
Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.
Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?