Uchaguzi 2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

JPM Ana kazi....anadangànywa Sana na wanafiki waliomzunguka!
Lissu hadanganywi na mwenyekiti wake kuwa atashinda?. Chadema hamuwezi shindana na Magufuli kabisa, yeye ni level nyingine. Mtaishia kuiona ikulu kwenye TV tu.
 
Watoe zote kisha wazipige moto,vibaraka na madalali wa mabeberu wakazi gani.
 
Huu si wakati wa kucheka na watumwa wa CCM ni tit for tat.
 
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.

=====

Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.

View attachment 1585065
Kwa hali kama hii ya kijinga nani anahatarisha amani ya nchi hii? Ingekuwa kwamba ni bendera za CCM ndio zinashushwa hali ingekuwaje?
 
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.

=====

Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.

View attachment 1585065
hii ina maana gani
 
CCM maji shingoni wanakunywa vibaba wanakaribia kukata roho , niwaambie polisi wa Tanzania fanyeni kazi kwa kufuata sheria na katiba na mjue kutofautisha Kati ya amri halali na amri haramu , ICC inawaita msije kusema hatukuwaambia .
IMG_20200930_083847.jpg
 
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.

=====

Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.

View attachment 1585065
Nguzo ya TANESCO walipata kibali tatizo ni kutofuata utaratibu wa kupeperusha bendera wataisoma namba
 
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.

=====

Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.

View attachment 1585065
Anaogopa bendera!?
 
Back
Top Bottom