Uchaguzi 2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?

Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.

Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?
......chini ya usimamizi wa polisi.............
 
Hio ni nguzo ya umeme au?

Hivi Mtu kama huyo kwanini asipigwe shoti 1 ya nguvu mpk akasimulie huko kwao.

Tafadhali umeme wa Tanesco tendeni miujiza hapo.
 
Ndivyo wanavyo muaminisha kwamba CCM inakybalika na wamefanikiwa kufuta upinzani na yeye akipita anaamini hivyo
Uonevu Kama huo ndio ,unazidisha hasika,na pia wanapo ambiwa,Uhuru,haki na maendeleo.Hawataki hata kuelewaa wanaambiwa Nini.
 
Tume imesema kuchana kipeperushi chamgombea yoyote nikosa hatamimi nasema nimakosa kabisa je kushusha bendera yachama kingine kwaajili yamgombea mungine asizione kwausimamizi wa vyombo vyadola hii imekaaje katika sheria na kanuni zauchaguzi?naomba nipate maelezo hapo
 
Sasa hii ndoinakuwaga inasound yanπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unnecessary provocation which will lead to the vote of anger against. Ujinga wa kiwango cha Standart Gauge Railway
 

Ina maana mpaka bendera za CHADEMA zinamtisha Magufuli na CCM yake?

Duuh, huu ni woga na hofu hatari kabisa iliyovuka viwango vya woga na hofu...

Heko CHADEMA, heko Tundu Lissu. Mkoloni mweusi anajiandaa kufungasha virago....
 
Hivi kweli huenda hiki Magu anakitambua au vyombo vya dola vinamhujumu?
 
CCM hii ya Leo ina watu wenye busara kweli...
Hivi mtamdangamua mgombea wetu hadi lini?

Mi naona ni bora tukamwambia ukweli ulivyo badala ya kufanya mambo ya kisanii kama haya!!
 
Ccm ni wajinga sijawai ona. Hawajui kwa vitendo hivi hata wale wajinga waliokuwa wanataka kuwapa kura, hawatowapa kura???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa sasa Magufuli hauziki tena kisera ndo maana hata wapambe wake huku mtandaoni hatuwaoni.
 

Watu wengine ni waajabu sana. Kwani bendera ndizo zinazopiga kura?
Mioyo ya watu ipo chadema, sasa kama wanaweza kuondoa hiyo imani kwenye mioyo ya watu, basi watafanikiwa, lakini hili la kuondoa bendera na mabago, ni sawa na mtu kukimbia kuvuli chake mwenyewe.
 

Nahisi ana muonekano wa wale 'wasiojulikana.' Kama ndio wao, sasa tumeanza kuwajua!
 
Bendera moja ndiyo unapiga kelele hivyo, JPM anachanja mbuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…