Uchaguzi 2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

Bendera moja ndiyo unapiga kelele hivyo, JPM anachanja mbuga.

Wewe ni kiumbe cha ajabu sana.
Sasa kama mtu anaogopa hadi bendera, je akikutana uso kwa oso na Lissu si atazimia.
 
Chadema kwisha habari yenu, Tulia kawatutliza kweli kweli. Wanawake wakiamua wanaweza.Tunduma chadema haipo tena hata wagombea wenu wanakamilisha ratiba tu.
 
Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?

Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.

Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?
Hiyo ndiyo common sense yako ilivyokutuma.
 
Siu
Kama ni washabiki wa chadema waliziweka wenyewe na wamezitoa wenyewe shida iko wapi?

Mwambieni tundu lisu kesho aseme hiyo maana ndo hoja zake mpaka mwisho wa kampeni.

Mlisema mbeya mnapendwa sasa mnalilia nini?
Simue ata mnaona haibu vtu vingne kujbu,sio kla ktu ujibu.....
 
Chadema kwisha habari yenu, Tulia kawatutliza kweli kweli. Wanawake wakiamua wanaweza.Tunduma chadema haipo tena hata wagombea wenu wanakamilisha ratiba tu.
LISSU IN TUNDUMA

So sad japo kijana kapata ajira..leo nyumbani watoto wataenda chooni
 
Watu wenye busara hawaangalii bendera wala kwenda kwenye kampeni wanasubiri tar 28/10 wamchague Lissu bila wasiwasi
 
Barabara ya nyerere road mbona jiwe kaweka mabango kibao
 
Wanacheza kweli na akili za Maggu hawa wapambe wake! ni jambo la hatari sana, wamweleze ukweli wa hali ilivyo kuliko kumwongopea.
 
Kwa hili HAPANA!
CHADEMA fikisheni taarifa hii TUME YA UCHAGUZI na MSAJILI kuwashtaki Polisi hawa.
MAADILI YANASEMA NI KOSA KWA MTU YEYOTE KUCHANA BENDERA AU BANGO LA MGOMBEA WA CHAMA CHOCHOTE......!!!
CHADEMA pelekeni MALALAMIKO HAYA FASTA ILI KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA..!
 
Wanashusha bendera kwenye milingoti,
Wanapandisha bendera kwenye Mioyo,
 
Mkuu hata wakifikisha hakuna chochote kitakachofanyika.
 
Lakini itakuwa imeingia kwenye kumbukumbu na ikiwa kutakuwa na kufikishana kwene Mahakama za ICC hii ikawe kama Ushahidi!
Juzi Lissu kasema wameshapeleka malalamiko yao mengi NEC lkn hayajafanyiwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…