Uchaguzi 2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

JPM Ana kazi....anadangànywa Sana na wanafiki waliomzunguka!
Lissu hadanganywi na mwenyekiti wake kuwa atashinda?. Chadema hamuwezi shindana na Magufuli kabisa, yeye ni level nyingine. Mtaishia kuiona ikulu kwenye TV tu.
 
Watoe zote kisha wazipige moto,vibaraka na madalali wa mabeberu wakazi gani.
 
Huu si wakati wa kucheka na watumwa wa CCM ni tit for tat.
 
Kwa hali kama hii ya kijinga nani anahatarisha amani ya nchi hii? Ingekuwa kwamba ni bendera za CCM ndio zinashushwa hali ingekuwaje?
 
hii ina maana gani
 
CCM maji shingoni wanakunywa vibaba wanakaribia kukata roho , niwaambie polisi wa Tanzania fanyeni kazi kwa kufuata sheria na katiba na mjue kutofautisha Kati ya amri halali na amri haramu , ICC inawaita msije kusema hatukuwaambia .
 
Nguzo ya TANESCO walipata kibali tatizo ni kutofuata utaratibu wa kupeperusha bendera wataisoma namba
 
Anaogopa bendera!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…