Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa zinadokeza kwamba miongoni mwa majimbo mengi ya uchaguzi ambayo CCM itaangukia pua, limo Jimbo la Mbarali linalotajwa kuchukuliwa na Chadema , ambapo imetajwa sababu kuu kuwa ni ubora wa mgombea ubunge wa chama hicho aitwaye Liberatus Mwang'ombe , huyu kijana ameunganisha makundi yote ya Mbarali kuanzia wazee , vijana na watoto .
Ameunganisha wahanga wote walioumizwa na TANAPA , na sasa wakazi wote wa Mbarali wanamchukulia kama Mkombozi ambaye wamemuahidi kura zote za ndiyo
Video hii ni ya Mkutano wa ndani wa BAWACHA jimbo ambapo mgombea ubunge alialikwa.
jionee mwenyewe.