ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Jesca KishoaBilashaka maanakapoteana kabisa. Hivi anapambana na nani wa upinzani kamanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesca KishoaBilashaka maanakapoteana kabisa. Hivi anapambana na nani wa upinzani kamanda?
Kuna kanda ambazo bado hajafika kabisa itakuwa busara akipita kanda hizo.I wish kamanda Lissu akafungie kampeni zake Mbeya. Huko akizoa kura kuanzia Njombe,Iringa,Mbeya,Songwe, mpaka katavi hadi kigoma na kagera. Mchezo umeisha mapema kabisa
Clear chance mpaka sasa ni majimbo 71.Nyamagana jimbo limeondoka lile ccm wajiandae tu
Kuna haja ya kutumia chopa kufidia hii wiki iliyopotea ikiwezekana kwa siku mikutano hata 6. Maana bado kanda ya kusini na kaskaziniKuna kanda ambazo bado hajafika kabisa itakuwa busara akipita kanda hizo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Inawezekana lakini kwa muda uliobaki itabidi sacrifice baadhi ya mikoa .Kuna haja ya kutumia chopa kufidia hii wiki iliyopotea ikiwezekana kwa siku mikutano hata 6. Maana bado kanda ya kusini na kaskazini
Atapona kwa Neema ya NEC na policcm tu. Vinginevyo sijui.Jesca Kishoa
Sijui Ratiba ya NEC vipi. Ni muhimu ku prioritize. Baad ya kutoka Singida bila shaka ataenda Manyala na badae arudi Shinyanga na Lindi. Dodoma na Morogoro hakuna kitu kuna mazuzu tupu.Inawezekana lakini kwa muda uliobaki itabidi sacrifice baadhi ya mikoa .
Hasa mkoa wa Dodoma, na Ruvuma, pwani, Dar es salaam,
Badala yake aende Shinyanga, Simiyu, lindi, Mtwara, Singida, Manyara, Arusha, kilimanjaro na Tanga
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Lindi na Morogoro kuna kura.Sijui Ratiba ya NEC vipi. Ni muhimu ku prioritize. Baad ya kutoka Singida bila shaka ataenda Manyala na badae arudi shinyanga na Lindi. Dodoma na Morogoro hakuna kitu kuna mazuzu tupu.
Kuna kanda amabzo hata akipita hakuna impact sana. Bora muda wake uliobaki ukatumika kwa faida.Kuna kanda ambazo bado hajafika kabisa itakuwa busara akipita kanda hizo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu inaonekana una grudges nyingi sana na CHADEMA sifahamu walikukosea nini.
Lakini ukiamua ku move on basi unayaacha yaliyopita otherwise ni ngumu kutuaminisha waliobaki sio wapinzani ilihali wanapigwa marisasi mara watekwe n.k yaani kwanini aumie hivo wakati akirudi CCM anapewa post nzuri?
Mie naamini katika wakati ambapo wapinzani wa kweli wanajionyesha hadharani ni sasa. Maana sio kwa hustle wanazopitia, so wanahitaji support kuliko kejeli zisizo za msingi.
Ndo sisi sasa mashabiki wa Arsenal tu wavumilivu tupo tayari kwa majibu yote na hatuhami CHADEMA hata iwejeHa ha ha ha ha hata Arsenal inawashabiki wafia timu, japo matokeo yamekuwa ya kusua sua. Tungependa wapinzani washinde lakini kwa bahati mbaya, waliobaki mifano mifano ya wapinzani.
Good wishing is a stone breaker. Freedom is coming tomorrow!Tunamuomba sana Mungu aendelee kuibariki Chadema ili watu wengi zaidi wakombolewe
Tuzidishe maombi.Mbarali inahitaji ukombozi wa pili.Mungu ni mwema.tusubiri 28/10Mbarali ni nyumbani hata mwaka 2015 jumbo lilikuwa linaenda kwa cdm Ila mtifuano ndani ya chama ndio ulio sababisha kwenda ccm
Jidawaya msaliti alikuwa anakubalika sana ubaruku na rujewa baada ya mwang'ombe kupitishwa watu walopigia kura kwa hasira wakampa mgombea wa act mzee wangu Dickson kilufi ilà mwaka huu watu wapo pamoja ni mwang'ombe kuañzia ilongo,mswisi igulusi chimala kapunga,utengule usangu,uturo,ukwavila,mabadaga,igawa,rujewa,ubaruku,mahogole,mawindi,igava,madibila nyimbo ni mwang'ombe tu
Kawashika vibaya tena wamempitisha mtega ambae hana mvuto kabisa bora wangemaacha mwakabwangasi angeleta ushindani kidogo
AminaTuzidishe maombi.mbarali inahitaji ukombozi wa pili.Mungu ni mwema.tusubiri 28/10